othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 1,995
- 2,795
Kumbe, hatari!,anastahili lakin sembuse kipindi mke anakosa mahitaji muhimu yeye asiye halali anapata na bado analeta ngepe,ngoja aonje nyota ya jiwe.Huyo siwema naye alimtapeli huyo baba, akawa anamdai matumizi makubwa kila siku mara akadai anunuliwe gari ili asimwambie mkewe kuwa anatembea nae, sasa baba akachoka akaamua kumfikisha mahakamani. Akitoka huko atajifunza kula pesa ya jasho lake,