acha udaku wewe,ndio maana wamekukalia kimya,kwaio sisi inatuhusu nini?
peleka facebook hizi mambo if next time,
b.wege
Ushamba mwingine bwana sass jeur gan mbona gali LA kawaida sana
We hiyo gari waiona ya kawaida wengine hata baiskel hatuna...ni jeuri ndiyo...halafu siyo gali ni gari
Fanya kaz upate hela kama unaishia kupika urojo tu hata baskel ya miti utaisikia tu
Fanya kaz upate hela kama unaishia kupika urojo tu hata baskel ya miti utaisikia tu
Nasikia urojo,cheuro na bumunda zilimpa utajiri bakhresa
kajipatia mali kwa njia ya vitisho vya kusambaza picha za kigogo na kesi anayo.