Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
Mwanadada Siwema ambaye alikuwa na uhusiano na msanii Ney wa Mitego ameonyesha jeuri ya pesa mda mfupi baada ya kuachana na Ney wa mitego baada ya kununu gar mpya aina ya Hyundai CR-V. Hivi mwanadada huyo anakaz gani hapa mjini.
source: Aliyekuwa mpenzi wa Nay, âSiwemaâ aonesha jeuri ya pesa kwa mkwara huu! – Bongo5.com
source: Aliyekuwa mpenzi wa Nay, âSiwemaâ aonesha jeuri ya pesa kwa mkwara huu! – Bongo5.com