Siwema wa Ney wa Mitego aonyesha jeuri ya pesa

Siwema wa Ney wa Mitego aonyesha jeuri ya pesa

Bergkamp's turn against Newcastle. How on earth did he do it?

Back to Siwema.... Malaya Just (M.J)
 
acha udaku wewe,ndio maana wamekukalia kimya,kwaio sisi inatuhusu nini?
peleka facebook hizi mambo if next time,
b.wege
 
Wasaniii wa Tanzania watakuwa wanakufa masikini kila siku sababu wengi hawajielewi. Wengi wao wanafanya vitu ili watu waone
 
Ushamba mwingine bwana sass jeur gan mbona gali LA kawaida sana
 
Fanya kaz upate hela kama unaishia kupika urojo tu hata baskel ya miti utaisikia tu

We unadhani tusio na baiskel hatufanyi kazi basi...kazi tunafanya ni hivi tu hela haotoshi boss
 
kajipatia mali kwa njia ya vitisho vya kusambaza picha za kigogo na kesi anayo.
 
Back
Top Bottom