TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
- Thread starter
-
- #21
Sio kweli recheck your fact.
Unaikumbuka fainali ya UCL pale Wembley 2011 wakati tunamtetemesha mikono Sir Alex Ferguson?
Messi baada ya kufunga alishangilia kwa knee sliding.
Iko wapi hiyo knee sliding celebration? Nimekutumia link uione, magoli yote matatuSio kweli recheck your fact.
Unaikumbuka fainali ya UCL pale Wembley 2011 wakati tunamtetemesha mikono Sir Alex Ferguson?
Messi baada ya kufunga alishangilia kwa knee sliding.
Halafu mambo ya knee sliding celebration ni mambo minor tu.Iko wapi hiyo knee sliding celebration? Nimekutumia link uione, magoli yote matatu
HayaHalafu mambo ya knee sliding celebration ni mambo minor tu.
Sidhani kama ni issue sana.
Ndio yaleyale ,mambo ya Gaddafi,Mugabe na mu7.Hakujua muda sahihi wa kushuka jukwaani
Ama hakika hili nalo litapita
Acha kutupanga banaSio kweli recheck your fact.
Unaikumbuka fainali ya UCL pale Wembley 2011 wakati tunamtetemesha mikono Sir Alex Ferguson?
Messi baada ya kufunga alishangilia kwa knee sliding.
Hii mechi ilitaka kutoka na roho ya kibabu Fergie.Acha kutupanga bana
View attachment 3682897
Unakoelekea utampiga mtu ngumiHalafu mambo ya knee sliding celebration ni mambo minor tu.
Sidhani kama ni issue sana.
Unataka aseme GOAT ni yule jamaa alofanyishwa warm up kwa dakika 30 na kucheza hajacheza matokeo yake akasusa?GOAT tangu lini
Ok basi asilie lie kutaka huluma za watu mess ni mdogo sana kwa cr7 ila mwezie kakubali matokeo mwache aje afie uwanjaniHakujua muda sahihi wa kushuka jukwaani
UKweli ni kwamba Ronaldo anataka aabudiwe. Ni kweli kwamba kafanya makubwa na anastahili heshima lkn isiwe source ya yy kutaka apigigiwe magoti na aabudiwe. Watu wanachoka pia ukweli ni kwamba Ronaldo anapaswa kuukubali ukweli kwamba amechoka na ameisha.SIWEZI KUDANGANYA, KUMWONA RAFAEL LEÃO AKIVAA JEZI NAMBARI 7 YA URENO INALEA HISIA ZA AJABU SANA.
Hata masaa 48 hayajapita tangu Cristiano Ronaldo aondoke katika kampi ya Ureno, lakini jezi hiyo yenye heshima kubwa ya Nambari 7 tayari imepewa mchezaji mwingine. Rafael Leão amekabidhiwa jezi hiyo kwa ajili ya mechi dhidi ya Denmark, na kwa ukweli, muda ambao hatua hii imechukuliwa ndio unaofanya hali nzima ihisiwe kuwa ngeni na ya kushangaza.
Sasa, ili kutenda haki, kanuni za UEFA za Ligi ya Mataifa (Nations League) zinataka wachezaji waliopo kwenye orodha ya mechi kupewa nambari kuanzia 1 hadi 23, kwa hivyo kwa Ronaldo kuondoka kikosini, jezi Nambari 7 ililazimika kupewa mchezaji mwingine kwa ajili ya mechi hii maalum. Hii haimaanishi rasmi kuwa Leão amewarithi nambari ya Ronaldo kwa kudumu.
LAKINI BADO... HEBU FIKIRIA.
Hii ni Nambari 7 ya Cristiano Ronaldo. Nambari aliyoivaa akiwa Ureno tangu mwaka 2007, baada ya kuirithi kutoka kwa Luís Figo. Imeunganishwa sana na jina la Ronaldo kiasi kwamba kumwona mchezaji mwingine wa Ureno akiivaa mara tu baada ya kuondoka kwake kwa ghafla, kwa kawaida inaleta hisia zisizoridhisha kwa mashabiki wengi.
Na ukizingatia kila kilichotokea — Ronaldo kuachwa benchi dhidi ya Norway, mvutano unaoripotiwa kati yake na Jorge Jesus, mazungumzo yake na Rais wa FPF Pedro Proença, na kisha kuondoka kwake kwa ghafla kambini — ukweli kwamba Nambari 7 sasa ipo mgongoni mwa Leão unafanya mlolongo mzima wa matukio uonekane wa haraka mno.
Sisemi kuwa hii inathibitisha mpango fulani mkubwa wa siri unaomhusisha Jorge Jesus au shirikisho la Ureno — hatuna ushahidi wa hilo. Lakini kama shabiki wa Ronaldo, siwezi kujifanya kuwa jambo hili halinifanyi ninyanyue wanja kwa mashaka.
Bila kuagwa. Bila kukabidhiwa kwa heshima na utaratibu. Bila wakati wa kutoa heshima kwa mtu aliyeifanya jezi hiyo kuwa ya kishujaa na hadhi ya kipekee. Ni kama tu... CR7 anaondoka, na mara moja mtu mwingine anavaa Nambari 7.
Pengine ni kanuni tu za UEFA. Pengine ni jambo la muda tu.
Lakini kumwona Rafael Leão akiwa katika jezi hiyo masaa 48 tu baadaye? Ndio... hiyo inaleta hisia za AJABU SANA. 🇵🇹🐐
Ni masaa mawili yapite tangu umtumie nauli aje geto halafu simu yake haipatikani.Unataka aseme GOAT ni yule jamaa alofanyishwa warm up kwa dakika 30 na kucheza hajacheza matokeo yake akasusa?
Huyo labda u GOAT wa kudownload online.
GOAT wa kwanza kufurushwa kwa aibu timu ya taifa.
Kwenye ishu ya kulia lia hapo utakuwa umefananishaOk basi asilie lie kutaka huluma za watu mess ni mdogo sana kwa cr7 ila mwezie kakubali matokeo mwache aje afie uwanjani
Twende hoja kwa hoja.UKweli ni kwamba Ronaldo anataka aabudiwe. Ni kweli kwamba kafanya makubwa na anastahili heshima lkn isiwe source ya yy kutaka apigigiwe magoti na aabudiwe. Watu wanachoka pia ukweli ni kwamba Ronaldo anapaswa kuukubali ukweli kwamba amechoka na ameisha.
Uwanjani kunapaswa kuwa na wachezaji 11 ambao wote wanamwaga jasho kwa energy kubwa. Ronaldo kwa sasa effort hiyo hana zaidi sana anageuka mzigo kwa wenzie.
Ni sababu ipi kubwa imemfanya azile na kuondoka kambini?Twende hoja kwa hoja.
Ni fact gani hasa kwenye hili sakata ambalo linakufanya uone Ronaldo anapenda kuabudiwa.
Facts only.