hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Kuna kiumbe kinachoshikiria rekodi kubwa ya kulia kuliko CR7?Kwenye ishu ya kulia lia hapo utakuwa umefananisha
Tena jamaa analia kwa hisia sana
Kuna kiumbe kinachoshikiria rekodi kubwa ya kulia kuliko CR7?Kwenye ishu ya kulia lia hapo utakuwa umefananisha
sheria za laliga ni ngumu kwenye jezi,Vipi pale Real Madrid. Ilichukua masaa mangapi jezi namba 7 kupewa mchezaji mwingine?
Wenye nchi na timu yao wamempa Raphael Leáo jezi namba 7 wewe uko Kimara baruti unatoa mapovu. Endelea kuliaLakini kumwona Rafael Leão akiwa katika jezi hiyo masaa 48 tu baadaye? Ndio... hiyo inaleta hisia za AJABU SANA. 🇵🇹🐐
Nataka unipe wewe majibu ili yakiwekwa kwenye mzani tuone kama yatatupa hayo majibu ya kwamba anapenda kuabudiwa.Ni sababu ipi kubwa imemfanya azile na kuondoka kambini?
Hii ilikuwa 2016 na baada ya hapa akatangaza kustaafu.Kuna kiumbe kinachoshikiria rekodi kubwa ya kulia kuliko CR7?
Tena jamaa analia kwa hisia sana View attachment 3682938
We si useme tu ukweli kwamba goti wenu wa kuchovya kazila kwa sababu alifanyishwa warm up kwa dakika 30 kisha hakucheza.Nataka unipe wewe majibu ili yakiwekwa kwenye mzani tuone kama yatatupa hayo majibu ya kwamba anapenda kuabudiwa.
Jamaa yako kaanza zamani sana kulia.Hii ilikuwa 2016 na baada ya hapa akatangaza kustaafu.
Unakumbuka ilikuwa ni tukio gani?View attachment 3682957
Kama ingekuwa ni hivyo kwanini hakuondoka siku ileile?We si useme tu ukweli kwamba goti wenu wa kuchovya kazila kwa sababu alifanyishwa warm up kwa dakika 30 kisha hakucheza.
Jamaa kwa vile ego iko juu akaona hizi dharau akaamua kuzila.
Kukumbatiwa ni kawaida.Jamaa yako kaanza zamani sana kulia.
Tena jamaa akilia mpaka akumbatiwe na kubembelezwa ndio anyamaze.
View attachment 3682961
Miaka 20 bila world cup! 🤭🤭🤭🤭Mtu kavaa jezi hiyo kwa miaka 20, leo mnampora kifala tu!!!
Alijua atapangwa mechi zinazofuata kumbe sivyo.Kama ingekuwa ni hivyo kwanini hakuondoka siku ileile?
Hayo maandamano watayazuia?Mtu kavaa jezi hiyo kwa miaka 20, leo mnampora kifala tu!!!
InafikirishaHayo maandamano watayazuia?
Pro-Ronaldo wanasema " He is MORE than FOOTBALLER"
England kuanzia 1966 wana world cups ngapi?Miaka 20 bila world cup! 🤭🤭🤭🤭
Hurumahuluma