Siwezi kudanganya, kumwona Rafael leão akivaa jezi nambari 7 ya ureno inaleta hisia za ajabu sana

Siwezi kudanganya, kumwona Rafael leão akivaa jezi nambari 7 ya ureno inaleta hisia za ajabu sana

Hisia za ajabu kwa mujibu wa nani kama kwao wanaendelea kuisapot timu yao? Jamaa hayuko humble. Ilikuwa rahisi tu yeye kukubali kukaa benchi kwa mechi za wiki iliyopita na wiki hii halafu baada ya hapo angejiongeza kustaafu.

Mambo ya kuagwa angewaachia chama cha soka vile wangeona inafaa.
Miaka 41 kukasirika kupigwa benchi ni uduanzi.
Mwenzenu anaangalia chance ya kufikisha magoli buku😀
 
Ameyataka mwenyewe naona anastaili alichokuwa anakitaka mbona mwenzake Messi kastafu kwa eshima kwa kukataa kuendelea na kuwapa wengine nafasi waendelee na kaagwa kwa eshima kubwa sana,alishaona hanacha maajabu kwa timu ya taifa yake angejiweka pembeni kakosa kombe la dunia akiwa mchezaji bas inatosha wangempa heshima yake,kwa kuagwa,huwezi jua mbeleni angepewa ukocha,angekuja kuchukua kombe la dunia akiwa kocha mbona ingekuwa vzr sana
Hujui lolote Mkuu achna na story za vijiweni..Ronaldo hakutaka kubaki aliitwa na ndo maana alisema wazi juu ya hili..
 
Hujui lolote Mkuu achna na story za vijiweni..Ronaldo hakutaka kubaki aliitwa na ndo maana alisema wazi juu ya hili..
Sawa kaitwa kwann asikatae yeye ashaona kwamba hana bahati na team ya taifa mbona hata samatta aliitwa mbona alikataa
 
Nataka unipe wewe majibu ili yakiwekwa kwenye mzani tuone kama yatatupa hayo majibu ya kwamba anapenda kuabudiwa.
Jibu langu liko wazi, binafsi sijapata sababu ya msingi iliyomfanya Ronaldo aondoke kambini.
1. Alikuwa analenga nini?
2. Anaamini bila yeye Ureno haiwezi kufanya chochote?
3. Vipi kama kuondoka kwake kungevuruga utulivu kambini? Labda nikuambie kitu, nafikiri Ronaldo anapaswa kuona kuwa hata teammate wenzie inawezekana wamemhoka lkn wanashindwa kumwambia, ndio maana hata baada ya kuondoka hujasikia badiriko lolote kutoka kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Ureno. Kwa hadhi aliyonayo alipaswa kutulia ili kama kuna shida iwe solved lkn sio kuondoka kambini ili azue taharuki na kutafuta kuongelewa, kiufupi kwa hili amepuyanga. Over.
 
Jibu langu liko wazi, binafsi sijapata sababu ya msingi iliyomfanya Ronaldo aondoke kambini.
Kwahiyo kama wewe hujapata sababu ya msingi maana yake Ronaldo anapenda kuabudiwa?

Baada ya kusoma post yako halafu nikawa sijapata sababu ya msingi kwanini uandike jambo usilokuwa na taarifa nalo, je namimi naitakuwa sahihi kuhitimisha kwamba wewe ni MJINGA, MPUMBAVU na MVIVU wa kufikiri unayekurupuka kuandika bila research?
 
Sawa kaitwa kwann asikatae yeye ashaona kwamba hana bahati na team ya taifa mbona hata samatta aliitwa mbona alikataa
Walimwambia atacheza game Mbili ..Na Vyumbani kocha alijua kazingua kumfanya afanye warm up dakika 30 na zaidi na hakumuingiza..Akamuahidi ataenda kulisemea kwa waandishi wa habari .Na ndo maana Ronaldo baada ya kusepa amesema kuwa baada ya mazungumzo na Raisi wa Chama chao cha Mpira na Baada ya Press ya Refa nimeamua kuondoka na nitaweka wazi kila kitu.
 
Kwahiyo kama wewe hujapata sababu ya msingi maana yake Ronaldo anapenda kuabudiwa?

Baada ya kusoma post yako halafu nikawa sijapata sababu ya msingi kwanini uandike jambo usilokuwa na taarifa nalo, je namimi naitakuwa sahihi kuhitimisha kwamba wewe ni MJINGA, MPUMBAVU na MVIVU wa kufikiri unayekurupuka kuandika bila research?
Na mimi nitakuwa sahihi kuhitimisha kuwa wewe ni MSENGE, MATAKO, ****** & SHOGA unaeabudu wanaume wenzio.
 
Na mimi nitakuwa sahihi kuhitimisha kuwa wewe ni MSENGE, MATAKO, ****** & SHOGA unaeabudu wanaume wenzio.
Hujajibu swali.

Na haujajibu kwasababu wewe ni mzembe wa kufikiri, unapenda vitu rahisi na ndio maana unadiriki kufikia hitimisho kupitia wishful thinking.

Kama wewe hujapata sababu ya msingi ya kwanini Ronaldo aondoke kambini maana yake anakuwa anapenda kuabudiwa?

So

Namimi nitakuwa sahihi kuhitimisha kwamba wewe ni MJINGA, MPUMBAVU na MVIVU wa kufikiri unayekurupuka kuandika kwasababu unamuwekea mtu mawazo yako kichwani kwake bila research?
 
Back
Top Bottom