Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Polepole katekwa halafu yale yanayohamasisha maandamano yanasema eti tusubiri tarehe 29 hivi haya majitu yana utu kweli yaani mtu ametutetea kaacha ulaji wake hata kuhamasisha wananchi tuingie rodi imekua nongwa hao kina kwanini mnalazimisha yafanyike tarehe 29 wakati mpaka Sasa watu 10 wametekwa na akiwemo polepole?
Inaonesha haya maandamano sio ya nchi ni ya chadema. Bora nilale tu siku hiyo Kila mtu afe na chake Kwanza duniani nimekuja peke yangu hapo ungesikia lissu kauwawa majitu yangeanza kuhamasisha maandamano hata kabla tarehe 29.