GE2025 Siwezi kufa kisa watanzania. Ni ujinga wa hali ya juu na tarehe 29 hakuna cha maandamano sababu waitishaji wake hawana utu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nidai soda wewe sasa unaakili na umeanza kuelewa hoja yangu, daima usijitoe kwaajili ya wa Tz hadi siku waache unafiki na tabia za uoga kama nyumbu.

Wa Tz ni Nyumbu wa Tz ni wanafiki, wa Tz ni wasaliti, walimsaliti mbowe kwenye maandamano akatoka peke yake barabarani na binti yake , wakati walijaza comments mitandaoni miezi mitatu kumuunga mkono, wa Tz walimsaliti Lissu zaidi ya mara moja na sasa yuko mahabusu wamemsaliti tena.

Wa Tz wamemsaliti Mdude, wamemsaliti Soka na hata Polepole wote hawa comments zilijaa kwenye pages zao pindi walipokua wanakosoa serekali wakionyesha wapo pamoja nao ila mwisho wa siku wametekwa wote , wengine wamewekwa mahabusu, wengine hawajulikani kama wapo hai au wamekufa na wa Tz wanakata viuno tiktok wameshawasahau na wala hawawezi kuandamana kwaajili yao.

Usijitoe muhanga kwaajili ya hizi nyumbu acha zitembezewe kichapo siku kichapo kikikolea zitapata akili zenyewe usizisemee chochote
 
Ukweli mchungu, utauliwa na ukiwa na bahati sana uta trend siku 2 tu baada ya hapo kwisha na hata mkeo atakulilia tu muda atatafuta mtu wa kumpoza na ndio mwisho wa safari yako.
Hata mke wako anaweza kukuua
 
Nidai soda wewe sasa unaakili na umeanza kuelewa hoja yangu, daima usijitoe kwaajili ya wa Tz hadi siku waache unafiki na tabia za uoga kama nyumbu.

Wa Tz ni Nyumbu wa Tz ni wanafiki, wa Tz ni wasaliti, walimsaliti mbowe kwenye maandamano akatoka peke yake barabarani na binti yake , wakati walijaza comments mitandaoni miezi mitatu kumuunga mkono, wa Tz walimsaliti Lissu zaidi ya moja na sasa yuko mahabusu wamemsaliti tena.

Wa Tz wamemsaliti Mdude, wamemsaliti Soka na hata Polepole wote hawa comments zilijaa kwenye pages zao pindi walipokua wanakosoa serekali wakionyesha wapo pamoja nao ila mwisho wa siku wametekwa wote , wengine wamewekwa mahabusu, wengine hawajulikani kama wapo hai au wamekufa na wa Tz wanakata viuno tiktok wameshawasahau na wala hawawezi kuandamana kwaajili yao.

Usijitoe muhanga kwaajili ya hizi nyumbu acha zitembezewe kichapo siku kichapo kikikolea zitapata akili zenyewe usizisemee chochote
Kwa hiyo kama nimekuelewa vizuri unaomba "Maandamano ya Watanzania tarehe 29 yasifanikiwe", sio?
 
Polepole katekwa halafu yale yanayohamasisha maandamano yanasema eti tusubiri tarehe 29 hivi haya majitu yana utu kweli yaani mtu ametutetea kaacha ulaji wake hata kuhamasisha wananchi tuingie rodi imekua nongwa hao kina kwanini mnalazimisha yafanyike tarehe 29 wakati mpaka Sasa watu 10 wametekwa na akiwemo polepole?

Inaonesha haya maandamano sio ya nchi ni ya chadema. Bora nilale tu siku hiyo Kila mtu afe na chake Kwanza duniani nimekuja peke yangu hapo ungesikia lissu kauwawa majitu yangeanza kuhamasisha maandamano hata kabla tarehe 29.
Kwamba Kuna mtu alikuzuia kutoka /kuandamana siku ya tarehe 6/7? Kwann usiwe wa mfano mpaka usubir hiyo tarehe 29 Toka sasa
 
Kwa hiyo kama nimekuelewa vizuri unaomba "Maandamano ya Watanzania tarehe 29 yasifanikiwe", sio?
Hakuna maandamano tarehe 29, Nyumbu siku zote hazina umoja , Nyumbu hata zikikusanyika elfu 3 zinaweza kutawanyishwa na kitoto cha miaka miwili kilichoshika fimbo
 
Wabongo kwa kujipa umuhimu bana dah, kwani upo wapi mkuu, kwani we njia kwamba usipotoka watu hawataishi? Kwani yanakuhusu hayo mambo? Unapoona karamu za watu na huhusiki unapita tu kushoto maisha yanaendelee. Waachie yanayowahusu we subiri uji hapo kwa shemeji yako. Utalala una pa kulala au tandiko tu? Wanalala kina abduli kijana we unapush muda tu🙂
Acha nipush muda hao wakina abduli watumie mapesa yanchi ila sipo tayari kuandamana kisa chadema
 
Polepole katekwa halafu yale yanayohamasisha maandamano yanasema eti tusubiri tarehe 29 hivi haya majitu yana utu kweli yaani mtu ametutetea kaacha ulaji wake hata kuhamasisha wananchi tuingie rodi imekua nongwa hao kina kwanini mnalazimisha yafanyike tarehe 29 wakati mpaka Sasa watu 10 wametekwa na akiwemo polepole?

Inaonesha haya maandamano sio ya nchi ni ya chadema. Bora nilale tu siku hiyo Kila mtu afe na chake Kwanza duniani nimekuja peke yangu hapo ungesikia lissu kauwawa majitu yangeanza kuhamasisha maandamano hata kabla tarehe 29.
Punguza kujipa umuhimu usiokuwa nao! Halafu punguza mawenge maandamano sio ya chadema ni ya wananchi! 29.10 wewe lala tu kama unavotaka, acha kusumbua watu na nyuzi zako za kichonganishi tunaelewa kazi unayoifanya pumbavu mmoja wewe!
 
Acha nipush muda hao wakina abduli watumie mapesa yanchi ila sipo tayari kuandamana kisa chadema

Kwani wamekuita mkuu? Achana nao fanya mengine tu, usijipe umuhimu kwa yasiyokuhusu yapo nje sana ya ufahamu wako ukiona hivyo, sio lazima ujue kila kitu humu duniani, ndo mana darasani mnafundishwa wote kwa kiwango sawa lakini kuna wanaopata A, wastani na wengine Zero kabisa, so nature inaselect kila ntu na fungu lake! Hili sio lako kijana
 
Wengine wanaondokaje kwani mkuu, na we unajua utaondokaje? Sasa mwenye kauli za kijinga hapa nani? Akina Nyerere na baba yako wangekua na kauli za ******* namna hii si ungeishia kwenye condom mkubwa?

Eti kenge anaishi maisha yake na ana furaha bongo dah!
Wewe mpumbavu bado unaamini Nyerere ndio kaleta uhuru nchi hii? jinga kubwa, uhuru ilikuwa mikakati duniani ya wakoloni kutoa uhuru kwa nchi zote hakuna aliyepigania uhuru msilete ujinga hapa. Leo hii hatuwezi kupigana na wakoloni tukiwa kama nchi sasa mjinga gani wa kuamini tulikuwa na uwezo wa kupigania nchi wakati hata bastola tulikuwa hatuna. Uhuru tulipewa sote
 
Nawaachia walimwengu waendelee na wewe kijana. am out
 
Polepole katekwa halafu yale yanayohamasisha maandamano yanasema eti tusubiri tarehe 29 hivi haya majitu yana utu kweli yaani mtu ametutetea kaacha ulaji wake hata kuhamasisha wananchi tuingie rodi imekua nongwa hao kina kwanini mnalazimisha yafanyike tarehe 29 wakati mpaka Sasa watu 10 wametekwa na akiwemo polepole?

Inaonesha haya maandamano sio ya nchi ni ya chadema. Bora nilale tu siku hiyo Kila mtu afe na chake Kwanza duniani nimekuja peke yangu hapo ungesikia lissu kauwawa majitu yangeanza kuhamasisha maandamano hata kabla tarehe 29.
Kwa kuwa drone tupishe.alaaa!
 
Sijasema wa kudumu lakini nitaishi maisha yangu kufurahia na niondoke kama walivyoondoka wengine, kauli za kijinga ukisikia mtu anasema kwani utaishi milele..... ni mtu mjinga atatoa kauli hiyo, kwa hiyo kama siwezi kuishi milele nikajiuwe
Yani mi nife kwa mabomu na risasi niache kuona ujio mpya wa sanchoka??....never ever
 
Kijana naona wamekutuma uhamasishe maandamano kabla ya tarehe 29 ili waweze kuwadhibiti vizuri halafu ikifika hiyo tarehe 29 msiwaingilie kwenye uchaguzi wao wa kiini macho siyo, watu wameshaamua wataandamana hiyo tarehe ili washindwe kuwadhibiti watachagua wao walinde vituo vya kupigia kura au wadhibiti waandamanaji, tumekubaliana hata atekwe nani tarehe ya kuandamana ni hiyo wote waliotekwa wana umuhimu siyo polepole peke yake wewe kama huandamani tuliza kipago ndani acha wanaume wakaandamane usitupigie kelele
Uwezo wako wa akili ni mkubwa kuliko wa kiranga.🫡
 
Usipokufa kwa ajiri ya Watz utajifia mikononi mwa ccm, huwa hawauwi kwa kuchinja wanauwa kwa mikakati na msoto mkali, uamuzi ni wako kuchinjwa au kusota.
 
Hakuna maandamano tarehe 29, Nyumbu siku zote hazina umoja , Nyumbu hata zikikusanyika elfu 3 zinaweza kutawanyishwa na kitoto cha miaka miwili kilichoshika fimbo
Wewe binafsi ungependa nini kitokee. Maandamano yafanikiwe, au yasifanikiwe?
 
Back
Top Bottom