Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Labda kama hauna utimamu wa akili ambao hawana utu ni waitisha maandamano au waliomteka?Polepole katekwa halafu Yale yanayohamasisha maandamano yanasema eti tusubiri tarehe 29 hivi haya majitu yana utu kweli yaani mtu ametutetea hata kuambia wananchi tuingie rodi imekua nongwa kwanini mnalazimisha yafanyike tarehe 29 wakati mpaka Sasa watu 10 wametekwa na akiwzmo polepole inaonesha haya maandamano sio ya nchi ni ya chadema shenzi kabisa Bora nilale tu siku hiyo Kila mtu afe na chake Kwanza duniani nimekuja peke yangu
Pumbavu tarehe 29 mtaandamana chadema peke yenu hatoki mtu ndani wajinga nyie kumbe mmeandamaa maandamano Kwa ajili ya chamaLabda kama hauna utimamu wa akili ambao hawana utu ni waitisha maandamano au waliomteka?
Maandamano hayana mwenyewe ungeitisha ata yako ya kumdai mtu wako
Nani kakwambia maandamano ni ya chademaPumbavu tarehe 29 mtaandamana chadema peke yenu hatoki mtu ndani wajinga nyie kumbe mmeandamaa maandamano Kwa ajili ya chama
Nyie CCM andaeni ya kumdai Humphrey mbona easy tuPumbavu tarehe 29 mtaandamana chadema peke yenu hatoki mtu ndani wajinga nyie kumbe mmeandamaa maandamano Kwa ajili ya chama
Maandamano ni ya chadema mtaandamana peke yenu mpigwe marungu sisi sio wajingaNani kakwambia maandamano ni ya chadema
?
Kabla sijasahau mpumbavu ni mama yako mzazi maana Mimi nina umri kama wa baba yako size yangu ni mama yako mzazi
Tutapigwa risasi kabisa sio marungu wewe inakuuma nini?Maandamano ni ya chadema mtaandamana peke yenu mpigwe marungu sisi sio wajinga
Umeona ulivyokua mjinga Sasa ndio nimeamini haya maandamano ni ya majitu ya chadema maandamano ni ya majitu ya chadema maana Kila mtu akiyaongelea tofauti anaitwa ccmNyie CCM andaeni ya kumdai Humphrey mbona easy tu
Kwanini ayaongelee tofauti tuanzie apoUmeona ulivyokua mjinga Sasa ndio nimeamini haya maandamano ni ya majitu ya chadema maandamano ni ya majitu ya chadema maana Kila mtu akiyaongelea tofauti anaitwa ccm
Ukweli mchungu, utauliwa na ukiwa na bahati sana uta trend siku 2 tu baada ya hapo kwisha na hata mkeo atakulilia tu muda atatafuta mtu wa kumpoza na ndio mwisho wa safari yako.
Sijasema wa kudumu lakini nitaishi maisha yangu kufurahia na niondoke kama walivyoondoka wengine, kauli za kijinga ukisikia mtu anasema kwani utaishi milele..... ni mtu mjinga atatoa kauli hiyo, kwa hiyo kama siwezi kuishi milele nikajiuweKwani we ni wa kudumu na mkeo ni wa kudumu mkuu?
Sijasema wa kudumu lakini nitaishi maisha yangu kufurahia na niondoke kama walivyoondoka wengine, kauli za kijinga ukisikia mtu anasema kwani utaishi milele..... ni mtu mjinga atatoa kauli hiyo, kwa hiyo kama siwezi kuishi milele nikajiuwe
Una akili sana mkuu , labda hayo maandamano wayapange vizuriPolepole katekwa halafu yale yanayohamasisha maandamano yanasema eti tusubiri tarehe 29 hivi haya majitu yana utu kweli yaani mtu ametutetea kaacha ulaji wake hata kuhamasisha wananchi tuingie rodi imekua nongwa hao kina kwanini mnalazimisha yafanyike tarehe 29 wakati mpaka Sasa watu 10 wametekwa na akiwemo polepole?
Inaonesha haya maandamano sio ya nchi ni ya chadema. Bora nilale tu siku hiyo Kila mtu afe na chake Kwanza duniani nimekuja peke yangu hapo ungesikia lissu kauwawa majitu yangeanza kuhamasisha maandamano hata kabla tarehe 29.