GE2025 Siwezi kufa kisa watanzania. Ni ujinga wa hali ya juu na tarehe 29 hakuna cha maandamano sababu waitishaji wake hawana utu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nidai soda wewe sasa unaakili na umeanza kuelewa hoja yangu, daima usijitoe kwaajili ya wa Tz hadi siku waache unafiki na tabia za uoga kama nyumbu.

Wa Tz ni Nyumbu wa Tz ni wanafiki, wa Tz ni wasaliti, walimsaliti mbowe kwenye maandamano akatoka peke yake barabarani na binti yake , wakati walijaza comments mitandaoni miezi mitatu kumuunga mkono, wa Tz walimsaliti Lissu zaidi ya mara moja na sasa yuko mahabusu wamemsaliti tena.

Wa Tz wamemsaliti Mdude, wamemsaliti Soka na hata Polepole wote hawa comments zilijaa kwenye pages zao pindi walipokua wanakosoa serekali wakionyesha wapo pamoja nao ila mwisho wa siku wametekwa wote , wengine wamewekwa mahabusu, wengine hawajulikani kama wapo hai au wamekufa na wa Tz wanakata viuno tiktok wameshawasahau na wala hawawezi kuandamana kwaajili yao.

Usijitoe muhanga kwaajili ya hizi nyumbu acha zitembezewe kichapo siku kichapo kikikolea zitapata akili zenyewe usizisemee chochote
 
Ukweli mchungu, utauliwa na ukiwa na bahati sana uta trend siku 2 tu baada ya hapo kwisha na hata mkeo atakulilia tu muda atatafuta mtu wa kumpoza na ndio mwisho wa safari yako.
Hata mke wako anaweza kukuua
 
Kwa hiyo kama nimekuelewa vizuri unaomba "Maandamano ya Watanzania tarehe 29 yasifanikiwe", sio?
 
Kwamba Kuna mtu alikuzuia kutoka /kuandamana siku ya tarehe 6/7? Kwann usiwe wa mfano mpaka usubir hiyo tarehe 29 Toka sasa
 
Kwa hiyo kama nimekuelewa vizuri unaomba "Maandamano ya Watanzania tarehe 29 yasifanikiwe", sio?
Hakuna maandamano tarehe 29, Nyumbu siku zote hazina umoja , Nyumbu hata zikikusanyika elfu 3 zinaweza kutawanyishwa na kitoto cha miaka miwili kilichoshika fimbo
 
Acha nipush muda hao wakina abduli watumie mapesa yanchi ila sipo tayari kuandamana kisa chadema
 
Punguza kujipa umuhimu usiokuwa nao! Halafu punguza mawenge maandamano sio ya chadema ni ya wananchi! 29.10 wewe lala tu kama unavotaka, acha kusumbua watu na nyuzi zako za kichonganishi tunaelewa kazi unayoifanya pumbavu mmoja wewe!
 
Acha nipush muda hao wakina abduli watumie mapesa yanchi ila sipo tayari kuandamana kisa chadema

Kwani wamekuita mkuu? Achana nao fanya mengine tu, usijipe umuhimu kwa yasiyokuhusu yapo nje sana ya ufahamu wako ukiona hivyo, sio lazima ujue kila kitu humu duniani, ndo mana darasani mnafundishwa wote kwa kiwango sawa lakini kuna wanaopata A, wastani na wengine Zero kabisa, so nature inaselect kila ntu na fungu lake! Hili sio lako kijana
 
Wewe mpumbavu bado unaamini Nyerere ndio kaleta uhuru nchi hii? jinga kubwa, uhuru ilikuwa mikakati duniani ya wakoloni kutoa uhuru kwa nchi zote hakuna aliyepigania uhuru msilete ujinga hapa. Leo hii hatuwezi kupigana na wakoloni tukiwa kama nchi sasa mjinga gani wa kuamini tulikuwa na uwezo wa kupigania nchi wakati hata bastola tulikuwa hatuna. Uhuru tulipewa sote
 

Nawaachia walimwengu waendelee na wewe kijana. am out
 
Kwa kuwa drone tupishe.alaaa!
 
Sijasema wa kudumu lakini nitaishi maisha yangu kufurahia na niondoke kama walivyoondoka wengine, kauli za kijinga ukisikia mtu anasema kwani utaishi milele..... ni mtu mjinga atatoa kauli hiyo, kwa hiyo kama siwezi kuishi milele nikajiuwe
Yani mi nife kwa mabomu na risasi niache kuona ujio mpya wa sanchoka??....never ever
 
Uwezo wako wa akili ni mkubwa kuliko wa kiranga.🫡
 
Usipokufa kwa ajiri ya Watz utajifia mikononi mwa ccm, huwa hawauwi kwa kuchinja wanauwa kwa mikakati na msoto mkali, uamuzi ni wako kuchinjwa au kusota.
 
Hakuna maandamano tarehe 29, Nyumbu siku zote hazina umoja , Nyumbu hata zikikusanyika elfu 3 zinaweza kutawanyishwa na kitoto cha miaka miwili kilichoshika fimbo
Wewe binafsi ungependa nini kitokee. Maandamano yafanikiwe, au yasifanikiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…