Siwezi kuingia barabarani kwaajili ya kumpambania Lissu au Mbowe aingie Ikulu

Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu

Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano

Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.

Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani

Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Huu uharo una maana gani?
 
Kuja mdau humu kaandika uzi,tunahangaishwa sana na mambo ya kufikirika.Watunwameshaandamanishea sana na Msigwa,Kafulila,Lijualikali.Lakini leo hao jamaa wanakula minofu ya kuku na mikate ya siagi na asali,walioandamana maisha yako vile vile.Kama haupambani katiba mpya haitakuketea chakula mezani.Mambo haya ya katiba ni hoax tu.
 
Hahaha Mimi nawaambia
 
Mbona hatuoni mabadiliko yeyote wewe ni muoga tu hakuna ulilofanya🤣🤣🤣
Umeniuliza swali kuhusu nilichowahi kufanya, nikajibu halafu unapinga. Kama wewe siyo mwendawazimu ni nani? Hunijui halafu unakataa. Idiot kama hicho kibibi chako
 
Huna ulichokifanya tanzania hii haijabadilika kitu chochote wewe ni nyumbu muoga tu unapigia kelele jamii forum🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu

Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa Kwa ajili ya maandamano

Sababu Hawa unaowaona Leo wapinzani wakisha shika cheo Cha uraisi watabadilika na watakua wanyama sana kama waliokishika Sasa.

Halafu kingine jiulize kwanini hii mizee ya Sasa hivi inatuambia vijana tuipambanie nchi swali mbona yenyewe hayakuipambania Sasa sahivi maisha kwao ni magumu yanabaki yanalialia vijana ingieni barabarani

Sasa nawaambia nyie wazee hamna kijana ataengia barabarani pambaneni na hali zenu
Ni wapi waliposhika cheo cha Urais na wakabadilika na kuwa Wanyama?
 
Huna umuhimu wowote wewe.
 
Sasa kama wewe huwezi si ukae kimya Ili wenye kuwapigania wachukue jukumu lao. Kama hauli nyama kwanini utake kumlazimisha alaye naye asile? Bongo ina mambo mengi sana
 
Waandamanaji wengi huwa wanaingia barabarani kupambania maisha yao.

Hata kenya ilikuwa hivyo.

Wakati ukifika utaingia tuu, kama si wewe hata wengine
 
Sasa kama wewe huwezi si ukae kimya Ili wenye kuwapigania wachukue jukumu lao. Kama hauli nyama kwanini utake kumlazimisha alaye naye asile? Bongo ina mambo mengi sana
Wewe Umefanya nini mpaka Sasa au ndio nyumbu muoga
 
Back
Top Bottom