Siwezi kuishi bila wewe

Hilo jibu lako limeniacha hoi, kufa hafi ila cha moto atakiona[emoji1787][emoji1787]
Tumpe muda atakuja kuleta mrejesho. Mapenzi hayajawahi kumuacha mtu salama - hasa haya ya sili silali. Unaweza kuta mwenzake anamchukulia poa tu wakati yeye huku kawakaa kama nyota inayokaribia kuripuka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tumpe muda atakuja kuleta mrejesho. Mapenzi hayajawahi kumuacha mtu salama - hasa haya ya sili silali. Unaweza kuta mwenzake anamchukulia poa tu wakati yeye huku kawakaa kama nyota inayokaribia kuripuka [emoji16][emoji16][emoji16]
Kabisa, ila pia anawezekana amebahatika, amekutana na soulmate na wakadunda hadi mwisho, tumtakie kheri
 
naam
 
Heee!! Mi sio katoto Shimba.
Aaa wapi! Barua hizo tulikuwa tunaziandika miaka ya 60 na 70 huko. Naamini we wala ulikuwa hujazaliwa. Watoto wa late 90s nyinyi haya mambo hamkuyakuta [emoji16][emoji16][emoji16]

Nyinyi ni watu wa xaxa unaxemaje? 2naktn ln? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sms nzuri za mapenzi


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwiiii!! Wale mliokuwa mkiwaaandikia ndio marika yangu sasa hao Shimba. Najua hutakubali lakini huo ndo ukweli. πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Kuna miaka bila kutumiwa sms ya aina hiyo na mupenzi bado hajaona kama anakupenda kikweli.

Tofauti na siku hizi sms tamu mojawapo ni zile za miamala. Lol
Enzi zetu maneno ya kwenye barua yalikua mataam sana. Unalala na barua yako umeiweka chini ya mtoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…