Siwezi kuishi Dar...

Siwezi kuishi Dar...

Ukosefu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwamo stress magonjwa kama kisukari, ulaji mbovu na kutofanya mazoezi. Hizo nilizotaja ni sababu chache
Vijana wa dar hawafanyi mazoezi
Wanakula ovyo
Stress za kulipa kodi
 
Habari zenu..

Juzi nilikuwa Dar maeneo ya Mabibo kweli Dar sio sehemu pakuishi watu. Kwanza vijana wa ovyo sana, wanajiona wajanja halafu pesa hawana, nguo zao sasa za ajabu kweli.

Joto kama jehanamu ndani mtiti nje mtiti, vile vinyumba vyao vifupi kama mabanda ya kufugia nguruwe.

Kuna kasumba mbaya sana, mtoto hamuheshimu mkubwa, yani wanaishi kama kambale ajulikani mkubwa nani mtoto nani.

Vyakuka vya kiwaki mimi siwezi kula chips hata siku moja, mikuku ya kisasa daah mnamkuta kijana anakula chips tomato nyingi na mikuku ya kisasa ndo maana vijana wa Dar hawana nguvu za kiume

Mimi nitaishi Mwanza, Shinyang, Musoma, Mbeya, Iringa, Moshi ila sio Dar
Kwa sasa Dar hakuna Joto.

Hii itakuwa Chai
 

Attachments

  • FB_IMG_1680020679265.jpg
    FB_IMG_1680020679265.jpg
    107 KB · Views: 3
Back
Top Bottom