Siwezi kumlaumu Mbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana

Siwezi kumlaumu Mbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Siku zote raia ndio hufanya maamuzi ya mwisho, hata mitandaoni ukosoaji uwe mkubwa kiasi gani, kama raia hawataingia kwa ground huwa hakuna kinachotokea.

Siwezi kumlaumuMbowe kulamba asali, kupigania watanzania ni kazi ngumu sana.

Wanaharakati wana 20% tu, lakini raia wana 80% ya mageuzi.

Hata mashirika ya haki za kibinadamu, mashirika ya umoja wa mataifa huwa wanapata nguvu kuingilia kati wakiona kuna msukumo wa raia wenyewe, sio mwanaharakati mmoja mmoja.

Wanaharakati wanajitahidi kuamsha raia lakini raia waoga.

 
Siku zote raia ndio hufanya maamuzi ya mwisho, hata mitandaoni ukosoaji uwe mkubwa kiasi gani, kama raia hawataingia kwa ground huwa hakuna kinachotokea...

Hata mashirika ya haki za kibinadamu, mashirika ya umoja wa mataifa huwa wanapata nguvu kuingilia kati wakiona kuna msukumo wa raia wenyewe, sio mwanaharakati mmoja mmoja.

Wanaharakati wanajitahidi kuamsha raia lakini raia waoga.

View attachment 3462702
Hahaha kumtetea mtu ambae amechagua kuyapenda mateso ni kipengele

Kwanza umkomboe kifikra ( kazi kubwa sana) halaf baada kimatendo
 
Hahaha kumtetea mtu ambae amechagua kuyapenda mateso ni kipengele

Kwanza umkomboe kifikra ( kazi kubwa sana) halaf baada kimatendo
Ukipita mitandaoni huku utasema serikali inapinduliwa kesho, ukiingia mtaani watu hawana habari
 
Ukipita mitandaoni huku utasema serikali inapinduliwa kesho, ukiingia mtaani watu hawana habari
Nadhani itategemeana na mtaa na watu mahali walipo

Kuna jamii zimeamka kwingiene wamelala hawana haabri
 
Sasa kama watu wanaona bado hawajabanwa to the maximum kwanini wahangaike ? Watu wenyewe wakiona kuna shida ndio wataleta mabadiliko (refer ya French Revolution); Na wewe kama Mwanasiasa na unaona watu bado hawakufuati huenda hawakuamini bado (na hii ni dunia nzima wanasiasa wamekuwa walaghai na wasioaminika) hivyo mtu kuona kwamba aliyepo na atakayekuja wote ni walewale wataka kumtumia mtu kama ngazi ya kupata Kura kwenda Kula...

Kwahio its upon kwa wanasiasa wenyewe walio nje kuweza kuwaconvice watu waweze kuwaamini percent 100% na sio kwa kuwaambia wajitoe Kafara bali kuwafanya wawaamini kwamba kweli walisemalo ni la kweli na kuishi wanachosema na sio kubadilika kama vinyonga...

Na hata wapinzani wasipofanya lolote sababu waliopo (wanasiasa kwa ujumla) hawajui kula na vipofu tegemea machafuko makubwa kwa Gen Alpha (ambao watakuwa hawana hope, ujira au lolote la kupoteza)

Usiamini sana kwamba mtu / individual ndio atakutoa hapa mpaka pale dunia ya sasa watu ni wabinafsi sasa kwahio badala ya kusubiri fulani ndio aingie madarakani ili akufanyie mambo pigia kelele lolote ambalo halipo sawa linapotekea..., Na hapo ndio nilishatoa Ushauri tusitegemee wanasiasa bali tunapaswa kupigia Media / Waandishi ambao wanaweza kuibua madudu yanapotokea na sio kuyaibua wanapokuja kuomba Kura au wakinyanganywa tonge

 
Wenye akili wanalamba asali, Ninyi mtaishia kulamba chimvini..
 
Back
Top Bottom