Msanii wa muziki wa Dansi nchini, Christian Bella, amesema hawezi kuposti picha ya mwanamuziki Godzilla ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Bella amesema wakati wa uhai wa Godzilla, hakuwahi kuposti hata wimbo wake au kumsapoti kwa njia yoyote ile hivyo kuposti picha yake leo kwa sababu amefariki dunia huo utakuwa unafki.
Mshikaji yuko real.Hayo ni mawazo na mtazamo wake so sion tatizo.Huyu Jamaa kichwa ake iko mayi mingi.
Kuposti kuna husiana vipi na urafiki ama la.
Nadhani Mtu yeyote kama una wafuatiliaji wengi kwenye page yako basi unaweza kuposti tu kama njia ya kuwataarifu wale wanaokufuatilia.
Shabiki yeyote wa muziki anapo posti haimaanishi muhusika ni rafiki yake.
Waweza kuposti Mwanasiasa, Mwanahabari n.k, sio swala la urafiki hapa.
Mshikaji yuko real.Hayo ni mawazo na mtazamo wake so sion tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga hilo, nadhani lilishakula yale masembe, kwani sisi tupendaye nyimbo zake twamjua kweli?! Na ndiyo maana hata uraia halipewi, siyo mzalendo huyu...Mkongo na mtanzania wapi na wapi
Hujaelewa kilichochoandikwa, rudi kasome tuHayuko real,wasanii wangapi wanampost kazi zake huko Instagram,kumuonyesha support?...kwani angenyamaza hata kama hakuwahi kupostiwa kungempunguzia nini?yeye ameposti wasanii wangapi kuonyesha support?? ningemuelewa kama angesema hivyo kama ingekua alimpost Godzilla kumuonyesha support hafu yeye Godzilla hakumposti
Dogo mkongo huyo..hajui ustaarabu wetu wa kitanzania.He just dont know "Respect for the dead" thing!
Yaani we respect "death" as an act no matter who dies!
This motherfucker is just clueless!