Siwezi kumuita mpenzi wangu majina ya kimahaba

Siwezi kumuita mpenzi wangu majina ya kimahaba

Kumuita kwa jina lake sio mbaya,tatizo linaanzia pale kwenye namna ya kulitamka hilo jina,ili ionekane angalau kuna mahaba ndani yake!
Sasa Mwantumu unataka litamkwaje kimahaba? 😂😂
 
Hahaha kuna mtu nilibahatika kuona alivyonisave.. kanisave jina, cheo na mahali pa kazi like ‘Depal mlinzi Suma JKT

Nikamwambia edit, Sijapenda… unanisevuje hivyo sasa?

Hivyo ndio napenda sana. Kwanza inakua imekaa kimahaba kabisa
 
Kila mmoja na malezi au jamii aliyokulia hapo hakuna wa kumlaumu, Fanya unaloona halitakutesa nafsi
 
Mazoea tu mimi na mwanaume wangu ni mwendo wa kuitana baby tu mpaka mtaani wanafikiri baby ndio jina langu.Limekua sugu Hadi imefikia siku akiniita jina langu ndio inakuwa kama mahaba au inakuwa kama umefanya kosa[emoji16][emoji16]
 
Hujampenda tu, ukimpenda hutoweza kumuita jina lake. hauko romantic kabisa.

Embu pata picha mfano mdada anaitwa mangadelena😉 afu ana mpenzi anafupisha jina lake anamuita mangada🙂 badala ya kimuita kimahaa.... just ....😍Magie😍
 
Back
Top Bottom