Binafsi nimeshuhudia ma-bibi wakishindwa kuita/kutamka majina ya wajukuu waoHaun kapicha au kavideo kanako onesha effect za kuwaita hayo majina
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina langu Shabani lina tatizo gani?Halafu usikute mtoa mada anaitwa Shabani
Halina tatizo 😉 ila mimi tu silipendeleiJina langu Shabani lina tatizo gani?
Halafu usikute mtoa mada anaitwa Shabani
Kwahio nikiwa bf wako utanibadili jina?Halina tatizo 😉 ila mimi tu silipendelei
A.k.a Shebe=ShabanHalina tatizo [emoji6] ila mimi tu silipendelei
🤣🤣🤣🤣 Tigo wananidatisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani una nini lakini ??
Sent using Jamii Forums mobile app