Siwezi kumuita mwanangu majina haya

Siwezi kumuita mwanangu majina haya

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Kuna upepo wa majina ya kimuvi muvi, tamthilia n.k

Mim siwez kuja kumwita mwanangu majina hayo

Kuna jamaa amedhamiria kumwita mwanae Kobe, sawa...

Mfano wa majina hayo yaliyovamiwa na waswahili

1. Jaden
2. Colin
3. Kuki
4. Pablo
5. Iniesta
6. Ronaldo
7. Mtu anamwita mwanae messi
8. Andress
9. Platnumz (uswahilini huko) nk

Mim siweziii

Uzi tayari
 
Wakati mm siwezi kumuita

1. Asha
2.Edina

Yaaani haya majina kwa watoto wangu hapana

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom