Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
huwezi elewa hekema yake Yesu muujiza wa kwanza tu ulikuwa pombe wewe utaikataajeMm pombe marufuku maana hakika mwanadamu apendaye ulevi,huyo amepotoka
wewe utakuwa mwanaume wa kinondoni, umeambiwa bia inapunguza uwezo wa dush kwa kukuondoa maji mwilini.Katika makosa ambayo siwezi kufanya ni kupanga bajeti ya bia na vilevi vingine kwa sababu bia inapunguza mawazo inaongeza furaha inaongeza hamu ya kula chakula na papuchi tutafute hela tunywe bia haya maisha bila bia ni bure..
Inaongeza majiwewe utakuwa mwanaume wa kinondoni, umeambiwa bia inapunguza uwezo wa dush kwa kukuondoa maji mwilini.