SIWEZI KUPANGA BAJETI YA BIA

SIWEZI KUPANGA BAJETI YA BIA

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
6,955
Reaction score
8,120
Katika makosa ambayo siwezi kufanya ni kupanga bajeti ya bia na vilevi vingine kwa sababu bia inapunguza mawazo inaongeza furaha inaongeza hamu ya kula chakula na papuchi tutafute hela tunywe bia haya maisha bila bia ni bure..
 
wewe utakuwa mwanaume wa kinondoni, umeambiwa bia inapunguza uwezo wa dush kwa kukuondoa maji mwilini.
 
Back
Top Bottom