Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Katika makosa ambayo siwezi kufanya ni kupanga bajeti ya bia na vilevi vingine kwa sababu bia inapunguza mawazo inaongeza furaha inaongeza hamu ya kula chakula na papuchi tutafute hela tunywe bia haya maisha bila bia ni bure..