Siwezi kurudiana na Nay wa Mitego - Shamsa Ford

Siwezi kurudiana na Nay wa Mitego - Shamsa Ford

Anawezaje kumkana kuwa hajawahi kuvuliwa pichu na msela mwenye mpunga wake.
images
Neema naye ana mpunga?
 
Neema naye ana mpunga?
Si mnasema wenyewe mwenye kibanda chake na vijigari vya kijapani ni bilionea,sasa na Neema naye si unaziona gari zake na namba zake za 966.
images
images
 
Hiyo ni baada ya jana Ney wa Mitego kupost instagram picha ya Shamsa Ford nakuandika "happy valentine"

Ndipo kupitia ukurasa wake Shamsa akaonyesha Ku panick
Hata hivyo baada ya Shamsa kupost maneno hayo Ney aliitoa ile picha

"Naona mambo yanazidi kuvumishwa kwamba nimerudiana na Nay. Pls pls nina maisha yangu na mwanaume ambae nampenda na kumuheshimu. ..sijarudiana na nay na haiwezi kutokea kabisaaa. ..Nay una ndugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya leo haikuwa muhimu uniposti mimi. nilishukuru Mungu watu walishasahau kuhusu mimi na wewe but naona umetaka kuyafufua. Sipendi scandal na si maisha yangu kutafuta kiki za kijinga. KAZI YANGU NDO INAYONITAMBULISHA. ..PLS TUESHIMIANE" alimalizia Shamsa Ford
a81666deb76b86c6dc656969959e9079.jpg
pyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kumbe bongo MALAYA wastaarabu wapo wengi???!!!!!NAKUMBUKA ALIKUA ANASEMA HAWANA UHUSIANO WA MALOVE
 
Sawasawa Nay tia nyama hao. Dodoki manyoya wanalitaka wenyewe.
 
Back
Top Bottom