screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Neema naye ana mpunga?Anawezaje kumkana kuwa hajawahi kuvuliwa pichu na msela mwenye mpunga wake.
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neema naye ana mpunga?Anawezaje kumkana kuwa hajawahi kuvuliwa pichu na msela mwenye mpunga wake.
![]()
Si mnasema wenyewe mwenye kibanda chake na vijigari vya kijapani ni bilionea,sasa na Neema naye si unaziona gari zake na namba zake za 966.Neema naye ana mpunga?
Usi danganywe na ganda tunda ukalikuta hovyo.Mwenye picha ya upaja wa huyu Dada tafadhali airushe hapa
mkuu hiyo juu sio ID yako
pyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHiyo ni baada ya jana Ney wa Mitego kupost instagram picha ya Shamsa Ford nakuandika "happy valentine"
Ndipo kupitia ukurasa wake Shamsa akaonyesha Ku panick
Hata hivyo baada ya Shamsa kupost maneno hayo Ney aliitoa ile picha
"Naona mambo yanazidi kuvumishwa kwamba nimerudiana na Nay. Pls pls nina maisha yangu na mwanaume ambae nampenda na kumuheshimu. ..sijarudiana na nay na haiwezi kutokea kabisaaa. ..Nay una ndugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya leo haikuwa muhimu uniposti mimi. nilishukuru Mungu watu walishasahau kuhusu mimi na wewe but naona umetaka kuyafufua. Sipendi scandal na si maisha yangu kutafuta kiki za kijinga. KAZI YANGU NDO INAYONITAMBULISHA. ..PLS TUESHIMIANE" alimalizia Shamsa Ford
![]()
waswahiliKwani mtu kuwa Valentine wako mpaka muwe na mahusiano ya kimapenzi ??
Watu wana balaa.
Kaliwa sana tena kuna kinabo flani wa kitaa amemla sana tu .mhhh shamsa kaliwa na nay kumbee