Hahahaaa..... Hello, Hemedi, Lile, Beberu, Bora, Chinja, Na, Ondoa, Figo, Nene, Na, Mzungu, Aliyeua, Simba, Pale Serengeti, Club, Arudi, Kwao, Canada..!
If a body is fully or partially immersed in a fluid, it displaces its own weight of the fluid.
Kuna kitu kilikuwa hivi:
Mama Veronica Egesha Mapaja Juu ya Sanduku Upate Nenepa Paja! Hapo sayari zote 9 unazokichwani!
Halima Hemedi Chinja lile beberu....blablabla,na yule mzungu aliyesimama serengeti club arudishe kesho cash
kuna ya planets,nilikremishwa darasa la tano hadi leo nakumbuka (MEVEDU of MAJUSA UNEP)Mercury,Venus,Dunia of MArs jupiter saturn uranus neptune plutto
State Paschal's Principle, ukipata nakupa ugolo.
jamaa anakumbuka vile alivyokuwa anameza wakati ule; sasa hapo ndipo utagundua ugumu wa shule those days - lugha ilikuwa kikwazo.Minor correction, siyo study of nature, ni study of matter in relation to energy.
Science ndio study of nature.
ukapendelea masomo ya kuandika eeeNayenyewe ilikuwa form I na II au ndo mitala ya sasa. Wenzio tiliachaga hiyo fizikia yenu huko tukawa wanasheria.
ulisoma wapi wewe sec??Wewe mtu,umewaza nini leo?
Yaani umenikumbusha mbali sana...
Good news ni kwamba,mwalimu wangu wa Chemistry alinifanya nipende somo lake,hadi sasa nakaribia kugraduate my MD.I miss this teacher,hata sijui yuko wapi siku hizi.
State Paschal's Principle, ukipata nakupa ugolo.
Wakuu,
Wengi mtakumbuka ukifika form one unakutana na kiingeleza masomo yote, wakati ule shule zote zilikuwa kayumba format, kwa hiyo tulipata tabu sana hasa tuliochomokea vijijini kujua lugha kwa haraka. wengi pamoja na mimi tuliamua kukariri notice za ticha walau usipate sifuri -- sasa mambo niliyoshika miaka ile ya 90 hadi leo hayatoki. nakukumbusha tu machache kama haya kwenye Kemia na Fizikia form one na Two.
-----------------------------
Matter is anything which can occupy space and has got weight and volume
Three states of Matter - Solid, Liquid and Gas
Chemical change - new substance is formed; change in weight; not reversed to original state:
Physical change - no new substance is formed; no change in weight; can be reversed to original state:
Charles Law - Pressure constant
Boyles Law - Temperature constant
Everybody continues in its state of rest until external force applied to it - 1[SUP]nd[/SUP] law of Motion
The rate of change of momentum is proportional to the imposed force and goes
in the direction of the force - 2nd law of Motion F=MA (hii tulipenda sana kuitamka tulikuwa na maana yetu) ha ha ha
Action and reaction are equal and opposite - Third Low of motion - 3rd low of Motion
Posocamazilc - Potassium, Sodium, Calcium, Magnesium, Zink, Iron Lead, Hydrogen and Copper - Metal reaction series
(Popular Scientific Can Make a Zuu In Law Level Humidity Country
Hydrogen pop sound - Lab Test
Common apparatus in the Lab - Bunsen banner, Vein Caliper, test tube n.k
Hizi ulikuwa hata ukiamshwa usiku wa manane lazima ziwe kichwani - tulipofika form three ndiyo tukaanza kuelewa - ile kazi ya kuzishika hizi ilikuwa pevu.
ni kumbukumbu tu wakuu wangu -- watu walikuwa na uwezo wa ku-cream daftari zima - unahamisha hadi nucta. ha ha ha
pressure is transmitted undiminished in an enclosed static fluid. amaPressure applied to an enclosed fluid is transmitted undiminished to every part of the fluid, as well as to the walls of the container.
change in P= density*gravity *change in height.
watu waliosoma fluid mechanics and hydraulic wanaweza kuielezea zaid labda naimwite Ndahani hapa. apa nimetumia nodo za kiualimu ila sio mtaalam wake.
Wewe Josephine, kumbe ungeweza kusoma sayansi sababu unaunganisha mambo vizuri kidogo:Hivi hii ni ile sijui archimedes principal au law of floatation. Mmmh was interesting kabisa. The car starts from rest Acceleration=0
Nimekumbuka: the floating body displaces its own weight ndo law of floatation
Ule wimbo we2, bwana shamba had a farmer iya iyayo.....
yeah mkuu, umenikumbusha mbali sana, sisi kuna jamaa tulikuwa tunawaita ma-catalyst --- yaani anatumika ku speed up process (reaction) then mzee mzima unamalizia -- nafikiri umenipata hapo.Catalyst is a subsance that ulters reaction but remain unchanged at the end of raction,,,,,,,,
NAMKUMBUKA MWaLIM LATIFFAH WA HIJRA SEMINARY DODOMA
catalyst is a subsance that ulters reaction but remain unchanged at the end of raction,,,,,,,,
namkumbuka mwalim latiffah wa hijra seminary dodoma
yeah mkuu, umenikumbusha mbali sana, sisi kuna jamaa tulikuwa tunawaita ma-catalyst --- yaani anatumika ku speed up process (reaction) then mzee mzima unamalizia -- nafikiri umenipata hapo.
Ila nyie mliosoma seminary sidhani kama mlikuwaga nazo hizi -- ha ha ha