Wakuu,
Wengi mtakumbuka ukifika form one unakutana na kiingeleza masomo yote, wakati ule shule zote zilikuwa kayumba format, kwa hiyo tulipata tabu sana hasa tuliochomokea vijijini kujua lugha kwa haraka. wengi pamoja na mimi tuliamua kukariri notice za ticha walau usipate sifuri -- sasa mambo niliyoshika miaka ile ya 90 hadi leo hayatoki. nakukumbusha tu machache kama haya kwenye Kemia na Fizikia form one na Two.
-----------------------------
Matter is anything which can occupy space and has got weight and volume
Three states of Matter - Solid, Liquid and Gas
Chemical change - new substance is formed; change in weight; not reversed to original state:
Physical change - no new substance is formed; no change in weight; can be reversed to original state:
Charles Law - Pressure constant
Boyles Law - Temperature constant
Everybody continues in its state of rest until external force applied to it - 1[SUP]nd[/SUP] law of Motion
The rate of change of momentum is proportional to the imposed force and goes
in the direction of the force - 2nd law of Motion F=MA (hii tulipenda sana kuitamka tulikuwa na maana yetu) ha ha ha
Action and reaction are equal and opposite - Third Low of motion - 3rd low of Motion
Posocamazilc - Potassium, Sodium, Calcium, Magnesium, Zink, Iron Lead, Hydrogen and Copper - Metal reaction series
(Popular Scientific Can Make a Zuu In Law Level Humidity Country
Hydrogen pop sound - Lab Test
Common apparatus in the Lab - Bunsen banner, Vein Caliper, test tube n.k
Hizi ulikuwa hata ukiamshwa usiku wa manane lazima ziwe kichwani - tulipofika form three ndiyo tukaanza kuelewa - ile kazi ya kuzishika hizi ilikuwa pevu.
ni kumbukumbu tu wakuu wangu -- watu walikuwa na uwezo wa ku-cream daftari zima - unahamisha hadi nucta. ha ha ha