dah atanikubali vipi na amefariki bwana?
Ulikuwa mbebs enzi hizo? Mbebz mtindi bana.
yap nilikuwa mbebs wa ukweli siku hizi mgrandma wa ukweliUlikuwa mbebs enzi hizo? Mbebz mtindi bana.
Vein Caliper,
weeee nilitemana nazo long time.ila hadi a level nilipiga science ... chezeiya bcom wewe?Ooooops...my bad!!!!
Siku hizi umeachana hizo sciences ama uliendelea nazo!??
Hahaha..acha bana orgasm kabisa??!
haya mambo ni kweli, kuna jamaa alipigaga bao pia kwenye Necta ya form II hesabu, jamaa yangu wa kichaga ---- aisee nimepisss -- nimepiss babanguuu. -- hapo anatusimulia baada ya paper, sisi hatuna mbavu-- those days duh furaha tupu if you remember hasa bording schools.Mkuu, yaani kitu live, ila bila mchuzi. Hahahahahahahahahahaha
Kuna jamaa mmoja alipiga bao na mchuzi kabisa wakati wa NECTA ya hesabu, hivi vitu vinatokea mkuu...
duh watu ni wabunifu sana kwenye matatizo, hii nimeipenda mnoMazengo kulikuwa na mabakuli ya Aluminium yakiitwa MABEDA. Pia kulikuwa na Mpishi akiitwa CHONYA na Mwalimu wa Welding Mhaya akiitwa BUGANYIZI. Hapo ndipo watu wakaunda Periodic Table ya Mazengo ikienda:
He He, Lile BEDA bovu CHONYA Nipe Orange Fanta Nende. Na Muganyizi Alivuta Sigara Paketi Sita Krolokwini Arusha.
Kijana Mmoja Muha akaja kuongezea mstari wa tatu: Kiswahili Cha Ghana Geresha, Asha Sema British Kiropa.....
Kwenye hesabu ilikuwepo kitu ikiitwa MAGAZIJUTO au BODMAS.
Kwenye TRIGONOMETRY ikawepo kitu ikiitwa SO/TO/CA na chini yake unaandika H/A/H. Hapo maana yake ni ukiwa na triangle, kusolve Sin@=Opp/Hypot. Tan@=Opp/Adja. Cos@=Adj/Hypot. Simple, heenn!!
hi itakuwa shule ya msingi -- ndiyo maada --ha ha haTungamo ni nini? Tungamo ni kitu chochote chenye uzito na kinachochukua nafasi! hii ni miaka ishirini iliyopita!
hi itakuwa shule ya msingi -- ndiyo maada --ha ha ha
ahaa kumbe ndiyo maana kuna jamaa wanataka waachwe wapumuwe watakuwa wamesoma sayansi haochezeya pcb wewe. elimu ya bongo we acha tu.msuli unaopigwa advance ni mkubwa kuliko wa chuoni.yaani chuoni atleast unapumua.
Ha ha ha ha walikuwa waonevu! ndo ilikuwa system ya kukushape unafikiri usingekula njiti ungekumbuka,kama haumini nenda kamuulize hizo definition mtoto wa kata wa sasa kama anakumbuka hata moja ila atakutajia waigizaji wa kihindi wote.ilikua balaa mkuu..kuna jamaa yangu aliambiwa asome neno "CHAMPAGNE" jamaa akasimama kwa kujiamini akapronounce "champagine" duh akala viboko vya kutosha..maticha walikua waonevu balaa
ha ha ha, duh hapa nakubali, yaani walikuwa wakibadilisha namna ya kuuliza swali tu mwanangu -- kwisha kazi ndiyo hasara za cleaming. kuna swali kama - Distiguish between ........kwenye paper inakuja What are mojar differences between.....au compare and contrast between.....(20mks)... hapo mwanangu lazima uangalie darini ukikumbuka bata / mbuzi uliowaacha homeee....Nakumbuka darasa zima tuliwahi potea kwenye swali kisa msamiati aliofundishia darasani ulikuwa tofauti na aliotolea swali japo maana ilikuwa moja,
Kwenye notisi ilikuwa hivi The duties of morans.......... Tukawa tumeclaim mpaka nukta siku ya paper ishu ikaja hivi
Outline the functions of morans.........hakupona mtu hapo wote tulipotea.lilikuwa ni bonge la swali gumu kwa wakati huo.