Siwezi Kusahau Definition nilizokariri nikiwa form I and II - Science

Siwezi Kusahau Definition nilizokariri nikiwa form I and II - Science

Ulikuwa mbebs enzi hizo? Mbebz mtindi bana.

Hahahah...yani we unankumbusha jamaa angu mmoja tulimwita 'msanii' yani yeye kila ktu madem kwanza...
Yan sisi tuna reminisce them days unawaza mtindi...!!! miafrika bana....:shut-mouth:
 
Ooooops...my bad!!!!

Siku hizi umeachana hizo sciences ama uliendelea nazo!??
weeee nilitemana nazo long time.ila hadi a level nilipiga science ... chezeiya bcom wewe?
 
Tungamo ni nini? Tungamo ni kitu chochote chenye uzito na kinachochukua nafasi! hii ni miaka ishirini iliyopita!
 
Mazengo kulikuwa na mabakuli ya Aluminium yakiitwa MABEDA. Pia kulikuwa na Mpishi akiitwa CHONYA na Mwalimu wa Welding Mhaya akiitwa BUGANYIZI. Hapo ndipo watu wakaunda Periodic Table ya Mazengo ikienda:

He He, Lile BEDA bovu CHONYA Nipe Orange Fanta Nende. Na Muganyizi Alivuta Sigara Paketi Sita Krolokwini Arusha.

Kijana Mmoja Muha akaja kuongezea mstari wa tatu: Kiswahili Cha Ghana Geresha, Asha Sema British Kiropa.....

Kwenye hesabu ilikuwepo kitu ikiitwa MAGAZIJUTO au BODMAS.

Kwenye TRIGONOMETRY ikawepo kitu ikiitwa SO/TO/CA na chini yake unaandika H/A/H. Hapo maana yake ni ukiwa na triangle, kusolve Sin@=Opp/Hypot. Tan@=Opp/Adja. Cos@=Adj/Hypot. Simple, heenn!!
 
Hahaha..acha bana orgasm kabisa??!

Mkuu, yaani kitu live, ila bila mchuzi. Hahahahahahahahahahaha
Kuna jamaa mmoja alipiga bao na mchuzi kabisa wakati wa NECTA ya hesabu, hivi vitu vinatokea mkuu...
 
Mkuu, yaani kitu live, ila bila mchuzi. Hahahahahahahahahahaha
Kuna jamaa mmoja alipiga bao na mchuzi kabisa wakati wa NECTA ya hesabu, hivi vitu vinatokea mkuu...
haya mambo ni kweli, kuna jamaa alipigaga bao pia kwenye Necta ya form II hesabu, jamaa yangu wa kichaga ---- aisee nimepisss -- nimepiss babanguuu. -- hapo anatusimulia baada ya paper, sisi hatuna mbavu-- those days duh furaha tupu if you remember hasa bording schools.
 
Mazengo kulikuwa na mabakuli ya Aluminium yakiitwa MABEDA. Pia kulikuwa na Mpishi akiitwa CHONYA na Mwalimu wa Welding Mhaya akiitwa BUGANYIZI. Hapo ndipo watu wakaunda Periodic Table ya Mazengo ikienda:

He He, Lile BEDA bovu CHONYA Nipe Orange Fanta Nende. Na Muganyizi Alivuta Sigara Paketi Sita Krolokwini Arusha.

Kijana Mmoja Muha akaja kuongezea mstari wa tatu: Kiswahili Cha Ghana Geresha, Asha Sema British Kiropa.....

Kwenye hesabu ilikuwepo kitu ikiitwa MAGAZIJUTO au BODMAS.

Kwenye TRIGONOMETRY ikawepo kitu ikiitwa SO/TO/CA na chini yake unaandika H/A/H. Hapo maana yake ni ukiwa na triangle, kusolve Sin@=Opp/Hypot. Tan@=Opp/Adja. Cos@=Adj/Hypot. Simple, heenn!!
duh watu ni wabunifu sana kwenye matatizo, hii nimeipenda mno

SO TO CA
H A H

safi sana, duh.
 
Tungamo ni nini? Tungamo ni kitu chochote chenye uzito na kinachochukua nafasi! hii ni miaka ishirini iliyopita!
hi itakuwa shule ya msingi -- ndiyo maada --ha ha ha
 
1. biology is the study of living organism
2. a specie is a group of animals who can interbreed to produce fertile offspring
(Mwalimu Mlenge)
 
Nakumbuka o level definition ya temperature -degree of hotness or coldness of body. A level teacher goes no no that definition wont do, defines temperature property of a body that determines weather or not it is in thermal equilibrium with another body! Proud thermodynamics professer says no no that definition wont do tell to a man on street! Defines temperature as inverse rate of change of entropy with respect to internal energy!
 
kunajamaa yutu wakati tuko form three alipiga bao! baada yakusahau definition ya charles law! jamaa alikuwa anakumbuka kule mwisho tu "at stp" mpaka ticha anasema kusanya karatasi!
 
Mama Veronica Endeleza Mapenzi. Japo Sikuoni Unataka Nikate Pumzi
 
chezeya pcb wewe. elimu ya bongo we acha tu.msuli unaopigwa advance ni mkubwa kuliko wa chuoni.yaani chuoni atleast unapumua.
ahaa kumbe ndiyo maana kuna jamaa wanataka waachwe wapumuwe watakuwa wamesoma sayansi hao
 
ilikua balaa mkuu..kuna jamaa yangu aliambiwa asome neno "CHAMPAGNE" jamaa akasimama kwa kujiamini akapronounce "champagine" duh akala viboko vya kutosha..maticha walikua waonevu balaa
Ha ha ha ha walikuwa waonevu! ndo ilikuwa system ya kukushape unafikiri usingekula njiti ungekumbuka,kama haumini nenda kamuulize hizo definition mtoto wa kata wa sasa kama anakumbuka hata moja ila atakutajia waigizaji wa kihindi wote.
teh teh teh teh namkumbuka mwalimu wangu wa Fizikia alikuwa anasema "If you don't understand today you will understand tomorrow,no need to understand,what you are supposed to do is to remember and remembering means understanding"
 
Nakumbuka darasa zima tuliwahi potea kwenye swali kisa msamiati aliofundishia darasani ulikuwa tofauti na aliotolea swali japo maana ilikuwa moja,
Kwenye notisi ilikuwa hivi The duties of morans.......... Tukawa tumeclaim mpaka nukta siku ya paper ishu ikaja hivi
Outline the functions of morans.........hakupona mtu hapo wote tulipotea.lilikuwa ni bonge la swali gumu kwa wakati huo.
 
ha ha ha, duh hapa nakubali, yaani walikuwa wakibadilisha namna ya kuuliza swali tu mwanangu -- kwisha kazi ndiyo hasara za cleaming. kuna swali kama - Distiguish between ........kwenye paper inakuja What are mojar differences between.....au compare and contrast between.....(20mks)... hapo mwanangu lazima uangalie darini ukikumbuka bata / mbuzi uliowaacha homeee....
 
Back
Top Bottom