Siwezi kutoboa, Waalimu elfu 28 kugombea nafasi 183. Narudi kulima

October 2pm

Senior Member
Joined
May 2, 2023
Posts
106
Reaction score
282
Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
 
Hufai kabisa utaenda kuharibu watoto wetu "Nirudi"
 
Mapema sana umeshafeli usaili, kitendo cha kutokwenda n tayari ushafeli na kuwapa nafasi watu wengine
 
Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Doh! Mkuu uandishi wako tu unathibitisha hicho unachosema
 
Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Damm hali ya ajira si nzuri kwakweli
 
Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Aiseeh. Mama Samia mitano tena
 
Hiyo gpa yako ya 2.8 Wala isikukatishe tamaa, ukijiandaa vizuri unapata kazi hiyo maana kupata gpa nzuri chuoni huwa ni factors nyingi ziko ndani Yake, amini kuwa unaweza, amini uwezo wako imagine nafasi moja hapo ni yako na hizo 182 ni za wengine.

Sema hapo uliposema kichwa chako unakijua mwenyewe hata Mimi imenishtua kidogo, yaani unajijua kabisa ni kiazi mbatata hili linatia shaka.

NB: Aya ya mwisho(ya pili) usiichukulie serious Sanaa.
 
Kwakuwa mwenyewe unakijua kichwa chako sisi ni akina nani tukubishie kaendelee kulima.

Ila kiuhalisia nafasi ni chache mno kuliko idadi ya waombaji hizi ajira zimekaa kisiasa ili muendelee kuimba mitano mingine, na zingine watazileta mwez wa sita mwakani za kuombea kura
 
Kilimo cha kumpa mtu maisha nacho kinawatema failures.

Jaribu udalali na uchawa.
 
Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Umefanya uamuzi wa busara.
 
Back
Top Bottom