Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Bora kama umelitambua hilo utakuwa salama,wenzio wanageuka walevi na vichaa huko mtaani kwa kushindwa kuutambua ukweli na kujikubali.Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima