October 2pm
Senior Member
- May 2, 2023
- 106
- 282
Hufai kabisa utaenda kuharibu watoto wetu "Nirudi"Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Lekodilekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
na huyu akiona kilimo hakilipi ataturoga huyu...🤣Tcha hujui kutofautia r na l bora ukalime tu.
Doh! Mkuu uandishi wako tu unathibitisha hicho unachosemaNaonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Damm hali ya ajira si nzuri kwakweliNaonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Aiseeh. Mama Samia mitano tenaNaonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Umefanya uamuzi wa busara.Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima