Siwezi kutoboa, Waalimu elfu 28 kugombea nafasi 183. Narudi kulima

Bora kama umelitambua hilo utakuwa salama,wenzio wanageuka walevi na vichaa huko mtaani kwa kushindwa kuutambua ukweli na kujikubali.
 
Nenda tu Mwl sio mbaya kwenda ku-experience mazingira ya interview
 
Sasa kwenye kilimo ondoa mentality ya kuwa mzito kichwani. Usifanye kama bora iende
 
Nenda kwenye interview halafu rudisha mrejesho hapa. Utatoboa Mkuu
 
Uko right ingawa kwenye iyo idadi kuna watu wapeitwa twice ikimaanisha masomo 2 tofauti
Mfano kuna mwalimu ameitwa KISWAHILI NA KIINGEREZA meaning that anachangia idadi sehemu mbili tofauti. Kulingana na hilo ina maana pamoja na watu kuwa wengi that factor counts. So the number is smaller than we think. #fanyainterviewuwezijua
 
Lekodi
 
Mtaani kugumu ndo maana hata muhindi akiniita PIKINE.poa tu.najua naingiza kitu.hamna noma
 
Poreeeeeee! πŸ˜…
 
Vijana Wana peana moyo eti bora kuingia data base..ajira ziliisha 2014 labda serikali irekebishe sheria kustaafu iwe miaka 45 au 50 kwa lazima
 
Si nimesikia nafasi ni 11,000 walioomba ni 15,000??
 
Umejiandikisha kupiga kura?? Majobless tuna jambo letu mwakani, tafadhali kama Zoezi la uboreshaji daftari la kudumu linaendelea huko kwenu hakikisha umejiandikisha. Pia daftari la mkaazi hakikisha umejiandikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…