sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
acha autani basi mzee, naombeni suluhisboView attachment 2160242
Kifupi jamaa anaonekana hiviπ
Nilitaka niombe picha ila umemsaidia[emoji23][emoji23]View attachment 2160242
Kifupi jamaa anaonekana hivi[emoji23]
Weka picha yako tuone kama upo seriousacha autani basi mzee, naombeni suluhisbo
Weka pamba nyuma ya maskio uyapige jekikuanzia mwezi wa March nimekuja kugundua nikijipiga picha masikio siyaoni kabisa, ni mpaka nigeukie kamera upande wa sikio, kiukweli napata stress,
Baadhi ya watu wanasema nmenenepa ila ni mara chache na mimi huwa najiona kawaida tu, kama ni hivyo nawezaje kutatua hilo tatizo la masikio
π¬ππππView attachment 2160242
Kifupi jamaa anaonekana hiviπ
[emoji134][emoji134][emoji134]Kuanzia mwezi wa March nimekuja kugundua nikijipiga picha masikio siyaoni kabisa, ni mpaka nigeukie kamera upande wa sikio, kiukweli napata stress.
Baadhi ya watu wanasema nmenenepa ila ni mara chache na mimi huwa najiona kawaida tu, kama ni hivyo nawezaje kutatua hilo tatizo la masikio