Six days war ilifanikiwa vipi ? Kipi kina shindikana sasa ?

Kwa sababu alipata msaada mkubwa na Marekani, Uingereza,ufaransa, Ubelgiji waliingia front kumsaidia.

Ni Kama Sasa Marekani kashaanza kisiri Siri ila bila wao jamaa anachapika vizuri tu.

Hautomuona huyo Mungu wao akiwasaidia kama tulivyokuwa hatujamuona Mungu wa Waarabu akiwasaidia.
 
Kama urusi na china walivyoshindwa kuimaliza Ukraine
 
Walifanikiwa sababu ya msaada wa marekani na pia nchi nyingi za kiarabu hazikuwa na nguvu kubwa ya kijeshi kwa kipindi kile. Vita vya siku hizi vimebadilika sana kila mtu amekua mbambe
 
ARabs waliingia kwenye vita kizembekizembe
 
Six days war ilifanikiwa vipi ? Kipi kinashindikana sasa IDF na kakikundi ka Hamas mwaka wa pili unaelekea sasa

IDF na Iran haifahamika hatima yao mpaka leo
Kwani wakati huo kulikuwa na simu za rununu (smart phone)? Nini kilishindikana?
 
Lakini IRAN ni mzembe wapo zaidi ya MILION 90 wanajeshi MILION 18 ISRAEL wapo MILION 9.8 wanajeshi halali na wakujitolea laki nne 400000 tu Iran wanashindwaje kuizunguka wakishirikiana na hamas kuiteka Israel Yote baada ya masaa 72 huu ni uzembe Kumbe hata M23 wanaweza kuwapelekea moto wa iran
 
Wanajeshi milion 18? Sio kweli
 
Lakini IRAN ni mzembe wapo zaidi ya MILION 90 wanajeshi MILION 18 ISRAEL wapo MILION 9.8 wanajeshi halali na wakujitolea laki nne 400000 tu Iran wanashindwaje kuizunguka wakishirikiana na hamas kuiteka Israel Yote baada ya masaa 72 huu ni uzembe Kumbe hata M23 wanaweza kuwapelekea moto wa iran
Elimu yako tafadhali ? Umesoma mwisho darasa la ngapi ?
 
Six days war ilifanikiwa vipi ? Kipi kinashindikana sasa IDF na kakikundi ka Hamas mwaka wa pili unaelekea sasa

IDF na Iran haifahamika hatima yao mpaka leo
6 days War Nchi hizo 6 ziliivamia Israel means Vita vilipigwa ndani ya Israel, tofauti na Vita vya Hamas vinapigwa Gaza.
 
mda utasema sasa mtu amemaliza utawala wa syria,hamas,iran vichwa vya watu muhmu rais na majemedari bado unasema ameshinwda,
 
Back
Top Bottom