Six days war ilifanikiwa vipi ? Kipi kina shindikana sasa ?

Hamas bado anaitoa kamasi Israel(taifa lililoteuliwa na Mungu) taifa ambalo Mungu anasema ikuugusa Israel umenigusa mimi, miaka 2 bado Mungu ameshindwa kuwamaliza Hamas, sio rahisi kwa Taifa linalojitegemea. Hata Tanzania tukikomaa israel(mngu)tunaishikisha ukuta.
Embu fafanua anaitoaje kamasi israel moaka sasa? Current activities zao ni zipi?
 
Six days war ilifanikiwa vipi ? Kipi kinashindikana sasa IDF na kakikundi ka Hamas mwaka wa pili unaelekea sasa

IDF na Iran haifahamika hatima yao mpaka leo
Misri ndege zao walizipaki airport kama bombardier, israel wakazipopoa moja baada ya ingine
 
Hamas bado anaitoa kamasi Israel(taifa lililoteuliwa na Mungu) taifa ambalo Mungu anasema ikuugusa Israel umenigusa mimi, miaka 2 bado Mungu ameshindwa kuwamaliza Hamas, sio rahisi kwa Taifa linalojitegemea. Hata Tanzania tukikomaa israel(mngu)tunaishikisha ukuta.
madini aya tunawapiga vizuri tu tunawaoa wale marubani wakike dini yangu inaruhusu wa 4
 
Uzuri nin kwamba Irani lengo lake ni kuimaliza Israel kwa kisas cha kwanin inawapiga waislamu wenzao wapelestina.

Na Israel inadai ile nchi ni yao wilipewa na Mungu wao.
Kwahyo kiufupi hiyo vita ya Israel na Iran chimbuko lake ni vita ya kiimani(kiungu)

Sasa muda utaamua.
 
Uzuri nin kwamba Irani lengo lake ni kuimaliza Israel kwa kisas cha kwanin inawapiga waislamu wenzao wapelestina.
Iran hajawahi kua mtetezi wa Palestina wala waislam, Iran anaipiga Israeli kwakua wamemchokoza. Laiti Israeli isingefanya ujinga ule wa kuua viongozi wa Iran haya yasinge mkuta. Israeli kaivuruga Gaza atakavyo Iran kakaa kimya hakufanya lolote.
 
Six days war ilifanikiwa vipi ? Kipi kinashindikana sasa IDF na kakikundi ka Hamas mwaka wa pili unaelekea sasa

IDF na Iran haifahamika hatima yao mpaka leo
ILE ILIKUWA PROPAGANDA
 
Back
Top Bottom