pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
I can't recall.So you don't know..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I can't recall.So you don't know..!
Hivi kati ya MTz na Mkei unaeza ukasema Mtz ana roho ngumu!! No way.. nyie jamaa mnauna sana wenyewe kwa wenyewe, kisa ukabila tu. Juzi tu mmeanza mtindo wa kubaka wamama walio jifungua, who does that!!! Nai wakora kukutoa roho kisa wallet ni rahisi sana, Jamaa zangu wawili wameuwa kwenye street robberry. Ata majambazi yanayo fanyaga matukio makubwa hapa Tz yakikamatwa mengi yanakua ni kutoka Kenya.Ulaji wa albino na kuwaua watoto hao maskini wa ulemavu wa ngozi umeskia Kenya??? Roho ngumu za kishetani mnazo nyie sio sisi.
Hata tetemeko la ardhi la Kagera tulikuja kutoa msaada wakati nyie mlikausha...
Hivi kati ya MTz na Mkei unaeza ukasema Mtz ana roho ngumu!! No way.. nyie jamaa mnauna sana wenyewe kwa wenyewe, kisa ukabila tu. Juzi tu mmeanza mtindo wa kubaka wamama walio jifungua, who does that!!! Nai wakora kukutoa roho kisa wallet ni rahisi sana, Jamaa zangu wawili wameuwa kwenye street robberry. Ata majambazi yanayo fanyaga matukio makubwa hapa Tz yakikamatwa mengi yanakua ni kutoka Kenya.
Mbona hamukuiweka hapa vile mnakimbilia hapa na renders za 15 floor buildings.Wewe nyang'au acha kutoa pole zako za kinafiki. Habari ya mwaka jana ndio unajifanya kutoa pole leo?
Nyamaf wee
Hii habari ya miaka na miaka[emoji23][emoji23]The haven for peace should delve deeper into such a matter, losing a kid is unfortunate and wouldn't wish it even to an enemy.
Sio habari ya Leo, ilishapita kitamboVery sad indeed. My condolences to our neighbours.
Bora haikufanyika Burundi wala Afghanistan but anyway both are LDCs foa all I care.Hii habari ya miaka na miaka[emoji23][emoji23]
Naona mnavyojitahidi kushindana na Tz[emoji23][emoji23] mmeshindana weee mmekopa mpaka mwisho Wa siku mmeingia kwenye madeni ya kufa na nchi imebakia BROKE[emoji23][emoji23][emoji23]Bora haikufanyika Burundi wala Afghanistan but anyway both are LDCs foa all I care.
Middle income inashindana na LDC???😀😀😀😀Naona mnavyojitahidi kushindana na Tz[emoji23][emoji23] mmeshindana weee mmekopa mpaka mwisho Wa siku mmeingia kwenye madeni ya kufa na nchi imebakia BROKE[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtakoma na hayo madeni[emoji23][emoji23] mpaka mmeamua kumpa Raila Nusu mkate.. Now Kenya is officially run with two Presidents.. Msingempa Raila Nusu Uraisi tungewawekea vikwazo mpaka mfe kiuchumi..Middle income inashindana na LDC???😀😀😀😀