Six ways men can escape poverty

Very correct mkuu,
Just one addition of many addictions available, ... budgeting and spending habits are also crucial!
 
Thank you.
 
All will be NOTHING without Education and Money capital. Otherwise all sentence are just empty motivation without action.
Mkuu elimu ni muhimu sana, mimi nalinganisha umuhimu na matumizi sahihi ya elimu na umuhimu wa damu kaika mwili wa mwanadamu, lakini Money capital sidhani kama ni kikwazo kikubwa sana kufikia tunapopataka japo ni muhimu pia. nasema hivyo kwakuwa kuna watu walikuwa masikini sana toka kwenye familia zao kiasi kuwa hiyo Money capital wasingeweza kuipata kamwe lakini baadaye wameweza kufanya makubwa sana, pia kuna watu walikuwa matajiri toka kwenye familia zao na Money capital isingekuwa tatizo lakini baadaye wamefilisika na kupoteza kila kitu. mimi nadhani suala la msingi hapa ni kutumia kwa usahihi elimu zetu ili itusaidie kutambua fursa na namna ya kutumia fursa hizo kutufikisha kwenye kwenye malengo yetu!
 
You have outspoken, this will instill in every man's mind.😉😉😉
 
yes yes, ila sisi waAfrica sijui ni nani alituloga sijui niseme alitulaani,
naomba nisieleweke vibaya ila sometimes nauchukia uAfricanism tho i am suoer proud of my Africa,

naomba niseme kwa mfano, kuna mzee mmoja tulikuwa tunaishi nae jirani sana home kwa wazazi...huyu mzee ni mfanya biashara anazunguka sana africa hasa nchi za kusini mwa jangwa la sahara,
........ni jirani mzuri sana mana anashirikiana vizuri na wazaz pale ss kuna kipindi akija anauliza hivi fulani si kamaliza chuo...anafanya ishu gani siku hizi..!!
akaambiwa alikua anafanya kazi sehemu fulani ila ameacha anafanya shughuli zake mwenyewe yani kajiajili, yule mzee asemi kitu....kumbe kijana nae alikua anamvizia sana huyo mzee aongee kuhusu hilo swala amuingizie kuhusu kumuonyesha njia za kupta na yy biashara yake aitoe nje ya TZ[emoji3][emoji3]

dogo anakwambia siku wameonana akamgusia kuhusu wazo lake aisee..[emoji1][emoji1][emoji1]

anakwambia mzee alimcheka na kumdharau akamwambia dogo komaa....mara oh kule hakuna ishu mm mwenyewe soon ntaacha kwenda[emoji30]
mara ooh umesoma ww tafuta ajira..

aisee yani mzee kumuonyesha njia tu dogo anaona sijui atamzidi ela mana dogo mtaji anao plus elimu anayo....hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]

sijui kama nimeeleweka hapo...waAfrica tuna roho za ajabu japo hata wazungu wapo ila sio kwa kiwango hicho,
tupendane jmn tuoeane fursa ss ili tuijenge Africa yetu na TZ kwa ujumla...kwani hata ukimuonyesha njia mtu akakuzidi utapungukiwa na nn,
.....mbona waalimu walitufundisha ss hivi tunawapa lifti humo njiani [emoji1][emoji1]

Sometimes someone needs a hand to hold on for the mean-time in a tough situation...

Selfishness is like Tumor in Africa, if we cant remove it now it will remove us!

adios.
 
Masikini wa roho na umimi sana kwetu wa afrika,..yani hata nduguyo wa damu si wa kumtegemea kabisaa,.wabinafsi sana hii ngozi...
 


Hii ya U selfishness ktk jamii yetu zaidi hatuwezi kataa, hali hiyo iko wazi.
Cha kusikitisha, uwezekano mkubwa ni kutokana na mazingira yetu, pengine tuliyokulia au tunayo ishi yanayopelekea mtu kuwa hivyo. Na pia huonyesha upungufu wa kiaina.

Kitu watu hawaelewi, ukimsaidia mtu (let's say kimawazo) nawe pia unaweza kusaidika, in one way or the other, if you're willing to learn and if you're open to new experiences the other person might be able to offer. So you won't just GIVE, you might RECEIVE, as well.

Well, hopefully the tumor can be removed before it's too late!
 
sure!

but remember it always begin with you...have you shared or helped anyone in anyway regardless if he/she has asked for your help?

if you have succeed in something and you have seen more opportunities in it...take someones hand push him up to that level, alafu it feels good unajua eeh...a helping hand is never short.
 


True, true Mr Miller right on Point!, umemaliza I couldn't put it better.
It has to start somewhere, and that somewhere is ONESELF

Guess it's our nature and shortcoming as human beings, to 'point a finger'
But if we start with ourselves, to find out how we can be part of change and be that change...I think there will be no room for hatred or selfishness for this case.

Umenikumbusha pia, it feels really good to lend whether it's an ear, or a hand to someone. Yaas!, being a good Samaritan is never short.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…