Interesting question!
Nimekusoma vizuri sana wehoodie.
Hili jambo ni muhimu sana lakini tatizo ni kuwa it's not a norm in our society but it's Important.
Tunajaribu kuwa na mikusanyiko ya kuelekeza na kufundisha vijana mambo mbali mbali ya kimaisha, lakini hatufanyi at a personal level, as in one in one.
Kuna age na hatua ambayo mtu/kijana anafikia, ambapo kwa namna moja ama nyingine lazima atahitaji ushauri, au muongozo.
And for that case, it's Imperative to have a mentor, someone they can look up to, either kwa ushauri au muongozo.
yes yes, ila sisi waAfrica sijui ni nani alituloga sijui niseme alitulaani,
naomba nisieleweke vibaya ila sometimes nauchukia uAfricanism tho i am suoer proud of my Africa,
naomba niseme kwa mfano, kuna mzee mmoja tulikuwa tunaishi nae jirani sana home kwa wazazi...huyu mzee ni mfanya biashara anazunguka sana africa hasa nchi za kusini mwa jangwa la sahara,
........ni jirani mzuri sana mana anashirikiana vizuri na wazaz pale ss kuna kipindi akija anauliza hivi fulani si kamaliza chuo...anafanya ishu gani siku hizi..!!
akaambiwa alikua anafanya kazi sehemu fulani ila ameacha anafanya shughuli zake mwenyewe yani kajiajili, yule mzee asemi kitu....kumbe kijana nae alikua anamvizia sana huyo mzee aongee kuhusu hilo swala amuingizie kuhusu kumuonyesha njia za kupta na yy biashara yake aitoe nje ya TZ[emoji3][emoji3]
dogo anakwambia siku wameonana akamgusia kuhusu wazo lake aisee..[emoji1][emoji1][emoji1]
anakwambia mzee alimcheka na kumdharau akamwambia dogo komaa....mara oh kule hakuna ishu mm mwenyewe soon ntaacha kwenda[emoji30]
mara ooh umesoma ww tafuta ajira..
aisee yani mzee kumuonyesha njia tu dogo anaona sijui atamzidi ela mana dogo mtaji anao plus elimu anayo....hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]
sijui kama nimeeleweka hapo...waAfrica tuna roho za ajabu japo hata wazungu wapo ila sio kwa kiwango hicho,
tupendane jmn tuoeane fursa ss ili tuijenge Africa yetu na TZ kwa ujumla...kwani hata ukimuonyesha njia mtu akakuzidi utapungukiwa na nn,
.....mbona waalimu walitufundisha ss hivi tunawapa lifti humo njiani [emoji1][emoji1]
Sometimes someone needs a hand to hold on for the mean-time in a tough situation...
Selfishness is like Tumor in Africa, if we cant remove it now it will remove us!
adios.