Sixty Nyahoza: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haina mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa nchini, Sixty Nyahoza, amevitaka vyama hivyo
amesema kuwa Ofisi yake haina mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa ila ana uwezo wa kukisimamisha usajili hivyo kuzuia kampeni zake.

Chanzo: Radio one stereo
 
Lisu amesha jua ameshindwa kwenye uchaguzi wa urais anachofanya ni kuongea hovyo ili wanao shutumiwa wa panic na wapoteze uelekeo.kinachotakiwa Taasisi zote zinazoshutumiwa kwa uongo Zi mvumilie, panapo majaaliwa Tarehe 28/10/2020 wa Tanzania watakwenda kumpa malipo anayo stahili.
 
Unaishi Mbezi au chamwino au mtumba?
 
Acha mikwara mbuzi bwashee!
Wakati wamuita mwenzako mbuzi,watu Sasa tumeamua kuweka taifa kwenye maombi ,kuanzia kesho japo sio mchungaji ,nitatekeleza ambayo ameniagiza ,
Nafunga siku 14 kwa kula Mara moja nakutaja mstari mmoja alioniambia kwa siku kumi 14,nakushukuru mungu wangu na nitafanya hivyo ,taifa kwanza
 
" mkwara mbuzi"

Labda wewe u mgeni hapa mjini!
 
Watabaki wanaweweseka kwa kuropoka maneno ya kila aina lakini ukweli utabakia palepale:

CHADEMA HAITAFUTWA WALA KUSIMAMISHIWA USAJILI WALA KUXUIWA KUFANYA KAMPENI.

LISU HATAZUIWA KUFANYA KAMPENI, NA KURA ZAKE HAZITAIBIWA. AKISHINDA ATATANGAZWA, AKISHINDWA KIUHALALI ATARIDHIA NA KUENDELEA NA NJIA HALALI ZA KUTAFUTA RIDHAA YA WATANZANIA ILI AONGOZE TANZANIA KATIKA UCHAGUZI UJAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu amesha jua ameshindwa kwenye uchaguzi wa urais anachofanya ni kuongea hovyo ili wanao shutumiwa wa panic na wapoteze uelekeo.kinachotakiwa Taasisi zote zinazoshutumiwa kwa uongo Zi mvumilie, panapo majaaliwa Tarehe 28/10/2020 wa Tanzania watakwenda kumpa malipo anayo stahili.
Hao watanzania ni tofauti na wale waliobomolewa nyumba zao?

Waliochomewa nyavu zao?

Waliokosa ajira miaka mitano?

Walionyimwa nyongeza ya mishahara?

Waliopoteza ndugu zao kwa kuuawa, kutekwa na kubambikiwa kesi?

Waliopigwa kimya kwenye korosho.
 
Back
Top Bottom