LGE2024 Siyame awavaa CCM kwa kuwapa wana Momba maji ya kunywa yasiyo salama

LGE2024 Siyame awavaa CCM kwa kuwapa wana Momba maji ya kunywa yasiyo salama

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mtiania wa Nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa jimbo la Momba mkoa wa Songwe, awataka wananchi wanapokuja viongozi wa kiserikali wawapatie hayo maji wanywe, wakigoma waondoke na si kuwapa maji yaliyotengenezwa viwandani.

Siyame amewataka wananchi kuchaguwa viongozi wote kutoka chama cha CHADEMA ili wawapiganie kwenye kuleta maendeleo.
 
Back
Top Bottom