Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Mmeamkaje?
Tulizoea wazee wa zaman wakijisifu kuwa kumpiga mwanamke ni kumnyoosha. Sasa cha ajabu kumbe bado ipo hii issue juzi kuna jirani yangu kapigwa night na mumewe yaan kipigo kweli, kiasi kwamba tukajua tukiamka atakuwa ameondoka lakini cha ajabu tunamwona anaenda sokoni huku USO wake kauzungushia kanga nahisi jamaa alikuwa anapiga za uso tu yan vichwa kwa sana (Kimoyomoyo nikajisemea mwanamke mwenzangu anamoyo kweli).
Za chini chini nasikia kapigwa kisa anapenda kuwa na mashost so kati ya shost mmoja kamletea habari that mumewe anakula mama mchungaji nadhani ile fikisha ujumbe kwa mume ndo iliyomponza. Sijui alifikisha shingo ikiwa imerefushwaa? Yaani daa.
Siyo lazima mtupige jamani, hivi kinachopelekea mpaka mnyooshe mkono kutupiga ni nini wakati kuelewana kwa maongezi inawezekana?