American Dream
JF-Expert Member
- Mar 18, 2022
- 313
- 352
Mwaka 2013 Hasira zake za kukuta message isiyoeleweka kwenye Nokia Asha 200 yangu akaanza kunipiga vibao vya mgongo namuangalia tu kila nikimpanga haelewi akaona aitoshi akaenda beba jiwe nje akaja kunirushia sebuleni lingenipata ningeshakuwa kilema au marehemu nikalikwepa likavunja kioo cha tv yangu kichogo ya aina ya JVC
Nilienda funga mlango nilichomfanya hatakaa asahau
Nb : nilijifunza kutodeti tena na mademu wa uswahilini kwetu Manzese
Hao manzi wa style za Niue ni shiiida🙌Unaweza ukawa unaongea nae taratibu tu ye akasema niuwe Sasa nipige Kama we mwanaume
Hata Kama hasira huna unaona Kama umedhaurilwa sana lazima umnyoshe kidogo
Kingine mazoea yanapitiliza mpaka mnaona wanaume ni washikaji zenu