Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo


Unaweza ukawa unaongea nae taratibu tu ye akasema niuwe Sasa nipige Kama we mwanaume

Hata Kama hasira huna unaona Kama umedhaurilwa sana lazima umnyoshe kidogo
Kingine mazoea yanapitiliza mpaka mnaona wanaume ni washikaji zenu
Hao manzi wa style za Niue ni shiiida🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…