Prayer without discipline is not enough. Maombi bila nidhamu haitoshi.
Waebrania 12:14
[14]Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;
Follow peace with all men, and holiness, without which no man shall see the Lord:
Yakobo 4:4
[4]Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.
Ye adulterers and adulteresses, know ye not that the friendship of the world is enmity with God? whosoever therefore will be a friend of the world is the enemy of God.
Wagalatia 5:19-21
[19]Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
Now the works of the flesh are manifest, which are these; Adultery, fornication, uncleanness, lasciviousness,
[20]ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
Idolatry, witchcraft, hatred, variance, emulations, wrath, strife, seditions, heresies,
[21]husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
Envyings, murders, drunkenness, revellings, and such like: of the which I tell you before, as I have also told you in time past, that they which do such things shall not inherit the kingdom of God.
Yesu aliomba masaa mengi sana ila aliishi maisha ya utii na nidhamu ya Hali ya juu kama ilivoandikwa.
Wafilipi 2:8
[8]tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
And being found in fashion as a man, he humbled himself, and became obedient unto death, even the death of the cross.
Waebrania 5:7-8
[7]Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu;
Who in the days of his flesh, when he had offered up prayers and supplications with strong crying and tears unto him that was able to save him from death, and was heard in that he feared;
[8]na, ingawa ni Mwana, alijifunza kutii kwa mateso hayo yaliyompata;
Though he were a Son, yet learned he obedience by the things which he suffered;
We must stop this hypocrisy, Tuache huu unafiki. We must serve the Lord through our words, speech and acts, Ni lazima tumtumikke Bwana kwa maneno, matamshi na matendo.