Siyo Maneno Yangu Nimeyakuta Barabarani

Huwa unasikkia "masikini yule kijana kama mdogo" Huyo kijana ndio wewe achana na chombo cha mwanajeshi🀣🀣🀣
Amehlo is taken already hivi unajua nilimwahidi iPhone 12
Sasa wewe iphone 12 hiyo ni kama mchanga tu. Mimi ntampa dunia na vyote vilivyomo na akitaka muondoke itabid mkatafute dunia nyingineπŸ˜‚
 
Sasa wewe iphone 12 hiyo ni kama mchanga tu. Mimi ntampa dunia na vyote vilivyomo na akitaka muondoke itabid mkatafute dunia nyingineπŸ˜‚
Hiyo dunia unayoizungumzia iko ndani ya iPhone 12. πŸ˜€akiweka Google na JF kamaliz

Ila sasa Amehlo anataka nini? haka katoto hakajulikan kama kaislam au kakristo. Hata hakifungi mwezi huu. Hakajui hata kupika nilikaita gheto kachukue iPhone 12 kakagoma
 
πŸ˜‚ sio kirahisi hivyo mtumie kwanza ya pasaka
 
Huwa unasikkia "masikini yule kijana kama mdogo" Huyo kijana ndio wewe achana na chombo cha mwanajeshi🀣🀣🀣
Amehlo is taken already hivi unajua nilimwahidi iPhone 12
Taken where πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hebu niache mie usinikoseshe bahati mie,

Niko single singwengwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…