Siyo mchezo na rahisi ki hivyo kuweza anayoweza Israel

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Ki ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na hali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel.

Kuanzia Kusini, Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, Israel kila uchwao anapambania uhai wa Taifa lao pasi na kujali wanasaidiwa na nani.

Honestly wa Israel ndiyo binadamu wasio na hakika ya kesho kila iitwayo leo! Israel ndilo Taifa linalotakiwa kuishi kwa akili ziada kila sekunde!

Israel ndilo Taifa linalo akisi uhalisia wa yatima hadeki! Israel bila kujali u halali wa Taifa lao NDIYO NCHI INAYOOMBEWA MNO HATA NA WALE ISIYOWATAMBUA!

Siyo mchezo kuyaishi maisha waishio hao Mayahudi.
 
Ki ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na khali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel.

Kuanzia Kusini, Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, Israel kila uchwao anapambania uhai wa Taifa lao pasi na kujali wanasaidiwa na nani.

Honestly wa Israel ndiyo binadamu wasio na hakika ya kesho kila iitwayo leo!

Israel ndilo Taifa linalotakiwa kuishi kwa akili ziada kila sekunde!

Israel ndilo Taifa linalo akisi uhalisia wa yatima hadeki!

Israel bila kujali u halali wa Taifa lao NDIYO NCHI INAYOOMBEWA MNO HATA NA WALE ISIYOWATAMBUA!

Siyo mchezo kuyaishi maisha waishio hao Mayahudi.
Mimi huwa nawaza ile chafia ya 1978 ilivyotuyumbisha mpaka leo hali hajawa sawa Israel wao tangu enzi na enzi wao usiku na mchanya
 
Ki ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na hali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel.

Kuanzia Kusini, Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, Israel kila uchwao anapambania uhai wa Taifa lao pasi na kujali wanasaidiwa na nani.

Honestly wa Israel ndiyo binadamu wasio na hakika ya kesho kila iitwayo leo! Israel ndilo Taifa linalotakiwa kuishi kwa akili ziada kila sekunde!

Israel ndilo Taifa linalo akisi uhalisia wa yatima hadeki! Israel bila kujali u halali wa Taifa lao NDIYO NCHI INAYOOMBEWA MNO HATA NA WALE ISIYOWATAMBUA!

Siyo mchezo kuyaishi maisha waishio hao Mayahudi.
Halafu unajidai ccm. Ccm gani kichwa maji?
 
CCM na ANDAZI unachagua nini?
 
Umeongea jambo kubwa na kwa namna isivyo kawaida katika uhalisia

Israel anajua kupambambania Taifa lake
 
Jf tuanzishieni klinik ya afya ya akili kwa vichaa watarajiwa kama hawa wanaweza saidika wakakaa sawa
 
Aache kuwatesa wapalestina , mbona iko wazi kama ni ishu ya kukubaliana sio kuwaua wengine.

Two states solution ilishafikiwa kitambo ila waliokuwa wanaunga wakauliwa , unavyomuona Netanyuhlu ana roho ila anasimamia mipango ya watu akicheza hata yeye atafukuzwa arudi kwao poland....Tatizo liko wapi tangu viongozi wa kwanza hapo Israel wanaendeleza uhasama ule ule .

Africa hatujafikia uhasama wa kiasi hicho .
 
Back
Top Bottom