Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Mimi huwa nawaza ile chafia ya 1978 ilivyotuyumbisha mpaka leo hali hajawa sawa Israel wao tangu enzi na enzi wao usiku na mchanyaKi ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na khali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel.
Kuanzia Kusini, Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, Israel kila uchwao anapambania uhai wa Taifa lao pasi na kujali wanasaidiwa na nani.
Honestly wa Israel ndiyo binadamu wasio na hakika ya kesho kila iitwayo leo!
Israel ndilo Taifa linalotakiwa kuishi kwa akili ziada kila sekunde!
Israel ndilo Taifa linalo akisi uhalisia wa yatima hadeki!
Israel bila kujali u halali wa Taifa lao NDIYO NCHI INAYOOMBEWA MNO HATA NA WALE ISIYOWATAMBUA!
Siyo mchezo kuyaishi maisha waishio hao Mayahudi.
Halafu unajidai ccm. Ccm gani kichwa maji?Ki ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na hali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel.
Kuanzia Kusini, Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, Israel kila uchwao anapambania uhai wa Taifa lao pasi na kujali wanasaidiwa na nani.
Honestly wa Israel ndiyo binadamu wasio na hakika ya kesho kila iitwayo leo! Israel ndilo Taifa linalotakiwa kuishi kwa akili ziada kila sekunde!
Israel ndilo Taifa linalo akisi uhalisia wa yatima hadeki! Israel bila kujali u halali wa Taifa lao NDIYO NCHI INAYOOMBEWA MNO HATA NA WALE ISIYOWATAMBUA!
Siyo mchezo kuyaishi maisha waishio hao Mayahudi.
CCM na ANDAZI unachagua nini?Ki ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na hali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel.