Siyo Siri huyu Mchezaji Henock Inonga wana Simba SC tunampenda ila ndiyo anatuumiza mno Kimatokeo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Goli Moja tulilofungwa leo limetokana na Yeye hasa kwa Uzembe wake wa Kutoruka akihofia Rasta zake na Mwanaume akapiga Header ya maana Goli.

Na aliponikera zaidi amefungisha na Kipa Manula anamsema Yeye kwa Dharau anamuonyesha Ishara ya Kufunga Mdomo.

Kitu pekee alichobarikiwa nacho ni Kutuzuga wana Simba SC hasa pale akiwa anakosea na Kutugharimu kwa kujifanya muda wote anafoka na kujifanya ni Kocha wa Uwanjani kwa kila mara kutoa Maelezo kuonyesha kuwa anajua mno Mpira wakati kumbe ni Mtu wa Kawaida sana na hata hajafikia 50% tu ya Uwezo alionao Beki wa Watani zeru Yanga SC Dickson Job.

Kujiamini Kwake kulikopitiliza, Dharau na Ujivuni wa Kikongo ndiyo unamsumbua na mpaka Kuigharimu Timu yetu.

Ole wake nimsikie Juha na Mnafiki akimlaumu Kipa Manula na Beki Onyango wakati tuliouona vyema Mpira na Kiufundi tumeona kuwa aliyetugharimu ni Beki Henock Inonga kwa Kushindwa kuruka sambamba na Mfungaji wa Goli pekee lililotuua ( tulilofungwa ) leo nchini Guinea.
 
Tatizo Lenu mbumbumbu fc ni Moja tu, kujiona nyinyi ni wakubwa kuliko wapinzani mnao cheza nao. Kwenye kundi Lenu zaidi ya Vipers Hakuna timu nyingine ambayo kwenye record za CAF mnaisogelea tena rekodi za miaka ya karibuni.
Ata hao Vipers Kwa uwezo walionao Kwa hivi karibuni kama mkishindwa kupata matokeo Kwa Mkapa kwao wanawafunga bila shaka yoyote.
Ao Vipers kama nyinyi mnavyo waona under dog na wao wanawaona hivyo.
Mnachotakiwa ni kumheshim mpinzani mtaweza kuona mapungufu yake na kuyatumia, mnavyo jitutumua nyinyi na wachezaji wenu uwa wanajitutumua hivyo hivyo.
 
Eti enonga, kwani wiki hii kafungwa simba tu.Kwani simba na Totenham hotspur ipi kubwa.Mwingine ni uchawi.
 
Tatizo Lenu mbumbumbu fc ni Moja tu, kujiona nyinyi ni wakubwa kuliko wapinzani mnao cheza nao. Kwenye kundi Lenu zaidi ya Vipers Hakuna timu nyingine ambayo kwenye record za CAF mnaisogelea tena rekodi za miaka ya karibuni.
Ata hao Vipers Kwa uwezo walionao Kwa hivi karibuni kama mkishindwa kupata matokeo Kwa Mkapa kwao wanawafunga bila shaka yoyote.
Ao Vipers kama nyinyi mnavyo waona under dog na wao wanawaona hivyo.
Mnachotakiwa ni kumheshim mpinzani mtaweza kuona mapungufu yake na kuyatumia, mnavyo jitutumua nyinyi na wachezaji wenu uwa wanajitutumua hivyo hivyo.
Huu ushauri ungempa nabi angekuwa Caf champions league ww uko mapinduzi cup unatoa ushauri kwa Caf champions league team hiyo jeuri unaitoa wapi

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Ao - Hao.

Huwa mna kelele nyingi kumbe mmejaa upepo mtupu.
 
Tukishinda utasikia wabovu.WATANZANIA MPIRANI TUMEKUWA KAMA RADIO ZA SUBWOOFER ZA KICHINA.wapuuzi sana.
 
Huu ushauri ungempa nabi angekuwa Caf champions league ww uko mapinduzi cup unatoa ushauri kwa Caf champions league team hiyo jeuri unaitoa wapi

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Mashindano ya Caf hayaitaji Kiburi ni uwekezaji na heshma Kwa mpinzani wako, ndio Siri ya mafanikio.
Iyo Mapinduzi cup ulitandikwa ukatolewa Kwa aibu.
 
Back
Top Bottom