Siyo siri, miradi mikubwa kama SGR, inaota nyasi. Hali ni ngumu!

Siyo siri, miradi mikubwa kama SGR, inaota nyasi. Hali ni ngumu!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
EA0E49A5-F5E2-46EE-9B1B-5E6806D1A6C4.jpeg

Hii picha ya front page leo 11/5/2020, Daily News imenifikirisha sana.
 
Kama hujasomea ufundi utaona kama imesimama kwa kuangalia majani yaliyoota chini. Hapo mradi unaendelea vizuri tu. Tuombe Mungu mradi uishe kwa wakati. Kwa sisi tuliokaa Ulaya yale matreni yanarahisisha sana usafiri na usafirishaji na ku-boost uchumi

Mie nilikuwa natamani sana yawepo na TZ, its like ndoto yangu inatimia
 
Jidu La Mabambasi,
... kilichokufikirisha nini wakati taarifa rasmi ya serikali ni kuwa mradi umekamilika kwa 75%?
Asante mkuu ingalau wewe unaweza kudiscuss kwa kutumia akili.
Najiuliza
-hapo unapoiona picha nguzo ndio imefika na taruma la zege haliendelei
-hapo unaona ni bado hapa mjini DSM(na kazi haiendelei)
-kwenye picha hata kibarua haonekani
-Kwa nyasi tunazoziona hakuna gari ya kifusi, zege, kokoto wala mchanga iliyopita hapo muda mrefu

Ni vema basi tungepata toka Daily News picha za kule kunakoendelea kujengwa ili tuione hiyo 75% ya maendeleo.
 
Tulia wewe ,hapo hamna gari ya zege itakayopita ila zaidi utaona crane zinakuja na kupachika vitu flani vinaitwa I beam ambavyo vinatengezwa sehemu nyingine kabisa na ambavyo kuwekwa hapo havichukui hata siku tatu
 
Back
Top Bottom