Siyo siri, miradi mikubwa kama SGR, inaota nyasi. Hali ni ngumu!

Siyo siri, miradi mikubwa kama SGR, inaota nyasi. Hali ni ngumu!

Tulia wewe ,hapo hamna gari ya zege itakayopita ila zaidi utaona crane zinakuja na kupachika vitu flani vinaitwa I beam ambavyo vinatengezwa sehemu nyingine kabisa na ambavyo kuwekwa hapo havichukui hata siku tatu
Anataka aone vibarua wakibeba hayo mabeam kichwani ndio aamini kazi inaendelea😂😂
 
ila kuna wabongo mna mambo ya ajabu sana,ulizeni hata jamaa zenu wanaoishi dar.

hapo kamata watu wako busy wakikusikia wanajirusha chini wafe tu.
Hahahaha, aisee watajitoa kafara, ili kesho waandikwe magazetini watu wajue kazi inaendelea..😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Niko wilayani Kilosa, magari ya mkandarasi Yapi- Markez yanakatisha hapa Makubwa kwa madogo, Mabus ,pick ups , malori .nk

Yakiwa kikazi zaidi . Ujenzi ni shughuli pevu yenye jicho la kiufundi. Vinginevyo utaona yamesimama kumbe YANASONGA.

PERMASHARP namuaminia
 
Kuna punguani mmoja nae alisema Waturuki wamerudi kwao. Ni hivi wajenzi maegawanyika wengine wako kwenye madaraja,wengine wako station,wengine wanaweka nguzo na nyaya etc.
 
Kuna punguani mmoja nae alisema Waturuki wamerudi kwao. Ni hivi wajenzi maegawanyika wengine wako kwenye madaraja,wengine wako station,wengine wanaweka nguzo na nyaya etc.
[emoji1]yaani nakwambia hawa watu ukiwa mtulivu utajua nia yao sio njema na nchi hii kama wanavyojinasibu.
 
Kama hujasomea ufundi utaona kama imesimama kwa kuangalia majani yaliyoota chini. Hapo mradi unaendelea vizuri tu. Tuombe Mungu mradi uishe kwa wakati. Kwa sisi tuliokaa Ulaya yale matreni yanarahisisha sana usafiri na usafirishaji na ku-boost uchumi

Mie nilikuwa natamani sana yawepo na TZ, its like ndoto yangu inatimia
Uwezo wa kumudu nauli bila ruzuku itawezekana
 
Kuna punguani mmoja nae alisema Waturuki wamerudi kwao. Ni hivi wajenzi maegawanyika wengine wako kwenye madaraja,wengine wako station,wengine wanaweka nguzo na nyaya etc.
Angepewa mchina kazi ingeshamalizika saa tatu asubui
 
[emoji1]yaani nakwambia hawa watu ukiwa mtulivu utajua nia yao sio njema na nchi hii kama wanavyojinasibu.
Kuna watu tofauti duniani.
Akina nyie mko radhi kuimba na kuabudu mkiziacha akili zenu nyumbani.
Thinking outside the box is a taboo.
 
Kuna watu tofauti duniani.
Akina nyie mko radhi kuimba na kuabudu mkiziacha akili zenu nyumbani.
Thinking outside the box is a taboo.
what box are talking about??

ungekaa kufikiri nje ya box ungeshajua kwamba unatakiwa utafiti jambo kwa kina kabla hujaamua kulielezea.
 
View attachment 1447022

Hii picha ya front page leo 11/5/2020, Daily News imenifikirisha sana.
Hao kina Francis Da Don ni mapunguani au wanatumwa kupinga kila wazo bila kutumia akili.

Gazeti la Serikali, linaweka front page, kazi iliyoota nyasi, na ina hang hewani kama mahame, tena pale si mbali na ilipoanzia ujenzi, miaka mitano hivi iliyopita, halafu vichwa panzi hawauoni ujumbe.

Vichwa vyenu vya kunywea kangara.
 
Huu mradi ni aina ile ya miradi ya kukurupukia. Na shida inaletwa na mtu mmoja kujifanya yeye ana akili kuliko wengine wakati ni utopolo tu. Badala ya kuboresha utendaji wa treni zilizopo unaenda kuanzisha upuuzi mwingine kabisa. Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom